Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Kuwatetea mama ntilie, machinga, bodaboda na wenye shughuri ndogondogo, ni sehemu ya kuwafanya watu wengi kuwa wazalishaji na si kuwa tegemezi
Lakini pia, ni kutengeneza watu wengi kuwa walipa kodi na nchi kuwa na maendeleo

Unapowafukuza hao watu bila kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanyia kazi, ni kuwafanya wawe tegemezi, kitu ambacho kinawafanya watu wachache kuwa ndio wazalishaji na wengi kuwa kama kupe!

Pumzika kwa amani hayati JPM
 
Aliwatetea kwa lipi, sema aliwaharibu sn watu wakawa wajinga
 
Ushahidi macho yangu.

Nilikuwa nimekaa na mjomba angu mmoja nae marehemu.

Ghafla yakapita magari ya jeshi yakiwa na mizinga.

Wakati huo ndo zile tetesi magufuli anaumwa magufuli anaumwa.

Alafu majaliwa na watu wengine wakawa wanakomaa kuwa mzee ni mzima wa afya.

Nikamwambia mjomba hii mizinga inayoipata sio dalili nzuri uenda kuna Jambo kubwa linaweza kutokea .

akasema inawezekana hatuwezi jua.

Mara tarehe 17 usiku Samia anatangaza magufuli amefariki.
Weka ushahidi wa ulichoona mwaka jana
 
Shida yako ni nini?
 
Mkuu naomba hii orodha unitumie pm imenigusa nataka nikaiandike kwenye tisheti langu na DAYARi yangu
 
 

Attachments

  • IMG_3736.MP4
    11.9 MB
Asante kwa live update mkuu. tupia na picha na kadeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…