Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Ukiwa mtu maarufu (e.g. raisi) unapangiwa kila kitu, mpaka kutangazwa kwa siku yako ya kufa.(rejea baba wa taifa)
 
Aliwatengeneza magufuli wadogo ambao waliamini kuwa ili wafanikiwe ni lazima wamwige JPM.

Hawa vijana walimwona JPM ni role mode wao

Sabaya na Makonda walikuwa role mode wa vijana wa UVCCM

Ule upepo ungeendelea sijui tungeishia wapi
 
Labda mbingu ya mungu Zamarindi, yani uuwe watu, utese watu halafu upelekww mbinguni na kadinali Pengo?

Hivi ndugu zangu wakatoliki hii bangi huwa mnavutia wapi?

Hebu nipe aya ya Biblia inayozungumzia huu ujinga wa Pengo kukupeleka mbinguni.
Alimuua nani? Uweke kabisa na uthibitisho.
 
Hakuna cha kukumbuka ni upuuzi mtupu. Utakuwaje na kumbukumbu ya "heshima" kwa Hitler, Idd Amin, Bokasa, ushetani mtupu.
Wapi alipo Azory Gwanda, wapi alipo Ben Saanane, Wapi alipo Mawazo. Acheni ushetani!
 
Kuna roho mbaya kuliko kutakia wengine kifo?
 
Africa ilipoteza kichwa hapa, tumebakiza vinega na wezi tu kutoka makunduchi na msoga
 
Hakuna cha kukumbuka ni upuuzi mtupu. Utakuwaje na kumbukumbu ya "heshima" kwa Hitler, Idd Amin, Bokasa, ushetani mtupu.
Wapi alipo Azory Gwanda, wapi alipo Ben Saanane, Wapi alipo Mawazo. Acheni ushetani!
🚮🚮
 
Kweli Leo ndo siku taifa lilitaamaki kwa kifo cha Raisi wa awamu ya tano.kweli kama taifa halikuwa kupitia uzoefu kama uo. Kingine hakuna mtu aliwaza mtu kama yule kwa jinsi alivyojipambanua ang'ekufa haraka namna hile.
Mimi nakubali mtu wa aina ya magufuli tulimtaka kwa pande zoote bahati mbaya kuna pande hakuwa na ubora kabisa . Nakazia hapo kuwa pande fulani alikuwa bora hasa kwa usimamizi wa Mali za umma,na utekelezaji wake changamoto ilikuja upande wa kisiasa hakuweza kuweka ulinganifu mzuri wa kisiasa na hapa palimtia doa Sana kitaifa mpaka kimataifa.
Na kwa jinsi nilivyojawa ona maisha haya mtu mwenye ubora wa kujua na kuelewa kila sehemu bila ubinafsi, upendeleo na chuki kupatikana na akawa Raisi , Bado Sana.
Watanzania inabidi kuelewa ndo asili ya viongozi tulionayo hakuna kiongozi tutapata akawa mlinganifu kabisa.
 
Ndio ameshakufa hivyo,hata ingekuwa tarehe 15, si amekufa?
 
Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Nawewe mpe zawadi mkweo
 
No sense...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…