Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Wale wanaobeza uwanja wa Ndege wa Chato basi angalieni ujumbe huu wa leo kwenye kumbukizi ndio utajua umuhimu wa uwanja ule.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Wewe uchunguzwe hili swali kwenye itifaki za VIP Protection ni Security alarming. Ukijua anatumia nini so what ?
 
ndo utaelewa kwann alifanya hivo
Kuhoji degree yako ndiyo umuue? Katika ulingo wowote ule huwezi kuondoa uhai wa mtu eti ubaki madarakani! kama Ben angelikuwa anapanga kulipua bomu la nuclear, then he could be justified to do what he didi!I!
 
Kijana Augustino Kessy Amuenzi Magufuli kwa namna Yake,agawa vyakula kwa wenye uhitaji...
 
Mara nyingi mvua huwa ni ishara njema inaponyesha.

Leo hapa Chato baaada ya ibada ya kumbukizi ya kifo cha hayati JPM kumalizika inanyesha mvua kubwa sana

Je hii ni ishara gani kwa kwa taifa letu?

Je huyu kiongozi alikuwa na baraka?
 
yeah,aliwapa chakula wenye njaa
sio tu chakula,mpaka mapapai
IMG_3173.JPG
IMG_3174.JPG
 
Mara nyingi mvua huwa ni ishara njema inaponyesha.

Leo hapa Chato baaada ya ibada ya kumbukizi ya kifo cha hayati JPM kumalizika inanyesha mvua kubwa sana

Je hii ni ishara gani kwa kwa taifa letu?

Je huyu kiongozi alikuwa na baraka?
Ina maana mvua hainyeshi Chato ila leo tu?
 
Back
Top Bottom