Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Mama yangu hata akifa hakuna shida wala mtu yeyote atakaye fanya sherehe juu ya hilo, sana tutaomboleza na kumwombea. Pia mama yangu siyo muuaji kama alivyokuwa jiwe. Wewe fikiria unafariki watu wanachinja ng'ombe kwa furaha. Bashite na Saambaya ni wateuliwa/wawakilishi wa jiwe.
Yule alikuwa rais!

Huwezi kutegemea kukosa vichaa 10 katika watu milioni 60 aliowaongoza watakaochinja ngombe kufurahia kifo chake!

Laikini hiyo haiondoi ukweli kwamba hata mamako atakufa pamoja na kwamba hakuna baya alilotenda!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Mkuu
Huko unakoelekea sio
Mambo ya familia waachie wenyewe wewe sio msemaji wao.

Ila magufuli alikuwa ni kufuli kweli?
 
Mara nyingi mvua huwa ni ishara njema inaponyesha.

Leo hapa Chato baaada ya ibada ya kumbukizi ya kifo cha hayati JPM kumalizika inanyesha mvua kubwa sana

Je hii ni ishara gani kwa kwa taifa letu?

Je huyu kiongozi alikuwa na baraka?
NI masika mkuu imeanza
 
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato...
Nikimuona Makonda na Sabaya tu, akili yangu inaniruhusu tukaongeze mfuniko wa tani 7 kule Chattle, asije kutoroka.
 
Yule alikuwa rais!

Huwezi kutegemea kukosa vichaa 10 katika watu milioni 60 aliowaongoza watakaochinja ngombe kufurahia kifo chake!

Laikini hiyo haiondoi ukweli kwamba hata mamako atakufa pamoja na kwamba hakuna baya alilotenda!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu atakaye ishi milele. Kama ulizaliwa jua utakufa pia. Ndiyo maana tunasema tuishi kwa wema
 
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato...
Mvua ilikuwa hainyeshi kanda ya ziwa. Jua ilikuwa linatishia amani. Lakini leo ambayo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM mvua imenyesha takriban mikoa yote kanda ya ziwa. Nini tafsili yake?
 
Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Miundo mbinu ya umma mkuu usitake ku capitalize kila kitu huoni kuna watanzania kule walikua wanapata changamoto za kuliwa na kenge ziwani
 
Japo kila mtu alikuwa muoga kumsifia Magufuli. Lakini Mangula, Mpango na Prof Ibrahim Juma wamejikaza kuongea ya moyoni japo kwa ufupi sana wasimuudhi Mkuu.

CCM kunahitajika maridhiano kabla ya Taifa. Hali sio shwari

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Wameongea nini?
 
Back
Top Bottom