Martisisy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 440
- 384
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na majadiliano nani ashike kiti baada ya dikteta kuondoka ndiyo maana ilichukua muda sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na majadiliano nani ashike kiti baada ya dikteta kuondoka ndiyo maana ilichukua muda sn
Yule alikuwa rais!Mama yangu hata akifa hakuna shida wala mtu yeyote atakaye fanya sherehe juu ya hilo, sana tutaomboleza na kumwombea. Pia mama yangu siyo muuaji kama alivyokuwa jiwe. Wewe fikiria unafariki watu wanachinja ng'ombe kwa furaha. Bashite na Saambaya ni wateuliwa/wawakilishi wa jiwe.
Ishu ni umeme haukuwahi kukatika au hapana?Useme, ilikuwa lini ulikatika ikapita siku nzima na ikawa mfululizo na hatimaye mgao?
Ndio ameshakufa hivyo,hata ingekuwa tarehe 15, si amekufa?
MkuuTuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Wachana na matarahe Cha msingi alikufa
NI masika mkuu imeanzaMara nyingi mvua huwa ni ishara njema inaponyesha.
Leo hapa Chato baaada ya ibada ya kumbukizi ya kifo cha hayati JPM kumalizika inanyesha mvua kubwa sana
Je hii ni ishara gani kwa kwa taifa letu?
Je huyu kiongozi alikuwa na baraka?
NakaziaAliwatetea kwa lipi, sema aliwaharibu sn watu wakawa wajinga
Nikimuona Makonda na Sabaya tu, akili yangu inaniruhusu tukaongeze mfuniko wa tani 7 kule Chattle, asije kutoroka.Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato...
Hakuna mtu atakaye ishi milele. Kama ulizaliwa jua utakufa pia. Ndiyo maana tunasema tuishi kwa wemaYule alikuwa rais!
Huwezi kutegemea kukosa vichaa 10 katika watu milioni 60 aliowaongoza watakaochinja ngombe kufurahia kifo chake!
Laikini hiyo haiondoi ukweli kwamba hata mamako atakufa pamoja na kwamba hakuna baya alilotenda!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sasa kama unajua hivyo kwanini unasema kama vile wewe utaishi milele?Hakuna mtu atakaye ishi milele. Kama ulizaliwa jua utakufa pia. Ndiyo maana tunasema tuishi kwa wema
Mvua ilikuwa hainyeshi kanda ya ziwa. Jua ilikuwa linatishia amani. Lakini leo ambayo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM mvua imenyesha takriban mikoa yote kanda ya ziwa. Nini tafsili yake?Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato...
Dah 🤔🤔🤔Ibada ya wafu ni ushetani tosha hivyo Mungu ameamua kuwasambaratisha wafuasi wa shetani mliasafiri hadi chato
Miundo mbinu ya umma mkuu usitake ku capitalize kila kitu huoni kuna watanzania kule walikua wanapata changamoto za kuliwa na kenge ziwaniNipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Japo kila mtu alikuwa muoga kumsifia Magufuli. Lakini Mangula, Mpango na Prof Ibrahim Juma wamejikaza kuongea ya moyoni japo kwa ufupi sana wasimuudhi Mkuu.
CCM kunahitajika maridhiano kabla ya Taifa. Hali sio shwari
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
NakaziaWameongea nini?
Pamoja sn mkuuNakazia