Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Alipofika buseresere na katoro akaghairi kwenda chato kwasababu alizomewa??? Hv mtu anaetokea muleba atapita buseresere na katoro kabla ya chato et??? Be a gentleman aseeee wadanganye ambao hawajawahi kufika huko!!!
 
Kuna tetesi kuwa Polisiccm wanawatishia watu wasiende kwenye mkutano huo maana Duniani kote wanautizama kama live mechi ya Liverpool vs man u au Barcelona vs Real Madrid
Nyie nendeni, msianze kuogopa kivuli chenu.
 
tanzania is the land for every one MAGUFULI welcomr to singida the home of tundu lissu
 
Naomba Lissu asisahau kuwaambia wanaChato kuhusu CCTV za nyumbani kwa Dr Kalemani pale Dodoma zilivyoondolewa.
 
Wewe ndio mpumbavu, watu wa Chato wanataka maji safi, zahanati zenye vifaa tiba, madawati na vitabu mashuleni lakini sio uwanja wa mabilioni kwa ajili ya kumleta Museveni na Odinga Mara moja moja kwa mwaka na sasa hawatakuja tena
Ya jikoni hatuwezi kuyajua. Mbona hawakupinga au kuukataa toka unaanza kujengwa?! Au waliamka asubuhi wakaukuta pale?!
 
Ndugu yangu achana na historia, safari hii mambo ya kukimbia na mabox ya kura au kura za kuchonga hayapo tena.
Safari hii kuna watu kama sio kufungwa muda mrefu basi watanyongwa!
He! We unamchukia muuaji kisha unakata na nyie muwe wauaji?
 

 
..hii sio video clip ya leo.

..ni ya wiki chache zilizopita.

..leo sijui itakuwaje maana ccm wamepanga kumfanyia fujo.
Haisaidii,hata wakiomba police iwasaidie kuwalazimisha watz waipende ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…