Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu


Utawala gani ulikuwa na hofu ya wasijulikana vyombo vya habari havifanyi tena uandishi ya kitafiti ni mwendo wa kushangilia tu. Hivi Haya maisha ya kukandamizwa namna hii ndo unaweza kusifia kabisa watumishi wa mwaka wa tano vitu vimepanda bei wao wanalipwa mshahara wa kikwete kweli na unasifia. Kweli hii nchi ina shida sana
 
Mkuu hata waseme nini sasa hivi its too late. Habari za maandalizi ya wahuni Chato kupitia viongozi wa CCM hapo zimeanza kusikika mapema mchana. Lakini hakukuwa na juhudi zozote kudhibiti maneno hayo ikimaanisha ni "amri kutoka juu".

Sasa wamefedheheka sana, Lissu katumia dakika zisizo zidi tano lakini ametwanga ujumbe ambao wengine wangetumia masaa mawili waeleweke.

" Kumsema mgombea mpinzani wako kwao ni jambo gumu sana, lakini Mimi nimekuja kumsema vibaya Dr Magufuli" sijawahi kuona mgombea shupavu aina hii tokea hizi chaguzi zianze 1995.
 
Nasikia wamempopoa
 
Bashiru called a spade a spade and nothing else, if people had other ideas to sabotage Magufuli election campaign this time they were in for a surprise. So if anything he was firing the warning shot traitors won’t be tolerated during this election season.

CCM is full of tricks under its sleeves people like JK are reserved ammunition’s should they need to be used in the fight. But as days went they did not see the neccrssity to disturb the old guards like J.K. The whole thing became so easy even mzee Mangula has returned to his beloved pastime hobby gardening vegs in his backyard.

This election is done and dusted as far as CCM is concerned the rest is just procedural.
 
..hotuba ya Tundu Lissu hii hapa.

..hakumtukana Raisi nyumbani kwao.

..wala hakuzungumzia uwanja wa ndege.


 
Magufuli is very relaxed? Mkuu uko wapi? Mambo yamekorogeka huko ndani na hali sio njema kwa Bashiru na Polepole. Mzee kwa sasa anasema wamekuwa sio strategic kama alivyowategemea
Haa wapi tetesi ni kwamba mkutano wa leo Mburahati ilikuwa aukache mpaka alipombiwa watu wamejaa toka asibuhi na awataki kuondoka, kwa heshima ya wapiga kura Magu ikabidi aende.

Yeye mwenyewe kashangazwa pamoja na mvua yote kubwa bado tu kulikuwa na watu awataki kutoka. Ndio matokeo ya kuwatumikia watanzania ije mvua lije jua wanataka kumsikia kiongozi walio na imani nae ana majibu ya matatizo yao.
 
Magufuli is very relaxed? Mkuu uko wapi? Mambo yamekorogeka huko ndani na hali sio njema kwa Bashiru na Polepole. Mzee kwa sasa anasema wamekuwa sio strategic kama alivyowategemea
Achana na wajinga hao. Haya mafuriko nyumbani kwako uta-relax kweli!



Adui kajaa tele sebuleni kwako, anabugia chai na chapati!
Magufuli imebaki kidogo tu mtasikia kagombana si tu na watu wake, kagombana na kila mtu!​
 
I hope too sio Magufuli tu bali viongozi wote wakemee kilichotokea.

Hila msikilize na Lissu kumbe ata yeye alijua kwenda Chato ni kununua ugomvi na wenyeji (wala sio Magu) kwa ivyo kuna lawama za kugawana na Lissu anazake kama alijua kilichopo mbele na kuamua kwenda ivyo ivyo.
 
Na wananchi wakamshangilia.
 
Ni sheria inayomkataza Lissu kwenda uwanja wa ndege Chato au mapenzi yako?
 
Sasa na wewe unatafuta nini humu? Una comment ili iweje badala ya kutafutia familia yako?

Hizi ni dalili za unafiki, kama hupendezwi na misimamo na hoja pita kimya
 
Magufuli is very relaxed? Mkuu uko wapi? Mambo yamekorogeka huko ndani na hali sio njema kwa Bashiru na Polepole. Mzee kwa sasa anasema wamekuwa sio strategic kama alivyowategemea
Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ratiba inamtaka kuwepo kule
Ratiba anaweza kufanyiwa ammendments; mradi aifahamishe ofisi ya tume. Kwa mfano kama aliugua hakuendelea na ratiba yake au kama alifungiwa anaruhusiwa kufanya ammendements. Ndiyo maana hata Magufuli akiwa Kigoma alizidisha siku moja ya kuwapo Kigoma kwa sababu za kiserikali, akafanya ammendement ambayo watu waliipigia kelele lakini ilikuwa halali.
 
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…