minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini pesa za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia kuihujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi hawataki maendeleo wamekalia mambo yasiyo na tija kurejesha mfumo wa chama kimoja, pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo ni nyingi mno ni pesa ambazo wangewekeza kwenye kujenga daraja mpaka Zanzibar, kujenga vyuo vikuu kila wilaya, kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa, kujenga barabara nzuri vijijini kote wangevuna kura pasipo kutumia Polisiccm NECCCM kuwabeba kwa njia haramu za kishetani.