BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
mbona kimya?
Bila bila mtu wangu!...Dk ya 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kimya?
barca wangalie chelsea wanaweza kushinda hii jezi ya yanga ya ushindi
Chelsea wamelinda reasonably, ila mambo yatabadirika kama Barca wakifunga maana wasipofunga Chelsea hawana sababu ya kuplay more openly.
Ze Bluez wakitaka kushinda wacheze kama Man U walivyocheza na hawa waungwana last season.
game haina mvuto....na huyu messi hana lolote u kadenge mwingi........game hii ilikuzwa saaaaaaaana, ....matokeo yake ndio haya....boriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing,..... Chelsea wao wanacheza Defensively tu,....dah, what a boring game!!!!!!!!!!!!!!!!!!
...game hii ilikuzwa saaaaaaaana, ....matokeo yake ndio haya....boriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing,..... Chelsea wao wanacheza Defensively tu,....dah, what a boring game!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naona Puyol gemu ijayo atakuwa benchi, alafu vipi ile si ilikuwa penalty au?