Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

_45712733_henry_getty.jpg

_45712759_marquez466ap.jpg

_45712839_cech466getty.jpg

_45712809_messi_getty.jpg
 
Nimejaribu kuweka picha za kipindi cha kwanza kuhusu baadhi ya matukio muhimu!
 
barca wangalie chelsea wanaweza kushinda hii jezi ya yanga ya ushindi
 
Mkuu yoyo inawezekana Jezi ya Yanga lakini wakawa wanacheza na Mafarao. Si unajua, it can go either way
 
Chelsea wamelinda reasonably, ila mambo yatabadirika kama Barca wakifunga maana wasipofunga Chelsea hawana sababu ya kuplay more openly.

Ze Bluez wakitaka kushinda wacheze kama Man U walivyocheza na hawa waungwana last season.
 
Icadon, Hapo umenena. I hope Guus anayajua hayo!
 
Mpira umesimama kidogo baada ya Henry kuumia baada ya kugongana na Alex.
 
barca was much better with Ronadinho....and ronaldo was very much good with barca....
 
...game hii ilikuzwa saaaaaaaana, ....matokeo yake ndio haya....boriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing,..... Chelsea wao wanacheza Defensively tu,....dah, what a boring game!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
game haina mvuto....na huyu messi hana lolote u kadenge mwingi.....
 
...game hii ilikuzwa saaaaaaaana, ....matokeo yake ndio haya....boriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing,..... Chelsea wao wanacheza Defensively tu,....dah, what a boring game!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbu tusibiri kesho labda tutaona gemu nzuri.
 
Naona Puyol gemu ijayo atakuwa benchi, alafu vipi ile si ilikuwa penalty au?
 
Back
Top Bottom