Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Wastani wa Umri mdogo is not applicable EPL, bali EPL inajitaji world class experienced players kubeba Kombe.
Hata hivyo matarajio yetu sio makubwa tunayotaka kwenye hii timu changa, Europa tu inatosha

Msimu uliopita walifanikiwa kucheza UECL ambayo mimi naona ni mafanikio makubwa
Msimu huu wakifanikiwa kucheza Ueropa league bado ni hatua kubwa wamepiga na msimu ujao wakiweza kuingia UCL watakuwa wamekuwa wamekomaa vizuri kuweza sasa kushindani ubingwa wa EPL
Hii ya Europa, Maresca akishindwa atakuwa kocha fala mkubwa kwa sababu kuu mbili
1) Kuna kila hali kwamba Chelsea itapewa nafasi 5 za UCL msimu ujao na hivyo Europa zikaenda timu mbili ambazo ni namba 6 na namba 7
2) Hata hivyo Chelsea ikishindwa kushika namba 6 au 7 bado wanayo UECL ambayo wakishinda wataingia moja kwa moja Europa league kupitia hayo mashindano.
Zote hizo Chelsea ikifeli basi naafiki kabisa Maresca afukuzwe
 
"Mkuu wa Borussia Dortmund, Niko Kovač, ana sifa tele kwa Carney Chukwuemeka:

Jinsi anavyopokea mpira na kuubeba, jinsi anavyogeuka mara moja kuelekea uelekeo wa mchezo, ni jambo la kipekee sana. Ana kasi nzuri na mbinu bora. Kijana huyu atatuletea furaha, ikiwa atabaki na afya njema."

Maoni yangu
Sehemu nzuri kuhusu Chukwuemeka ni umahiri wake katika kupiga pasi fupi na uwezo wake wa kuhakikisha pasi inafika mahali inapokusudiwa kwa kufanya ufuatiliaji wa karibu. Yeye ni mzuri katika kuunda muunganiko mzuri wa harakati kutoka kwa ulinzi, kupitia kiungo, hadi katika ujenzi wa goli. Anapocheza pamoja na wachezaji kama Palmer au Jackson, anaunda chemistry bora.

Hata hivyo, kocha wetu hakutaka kuona ubora wa Chukwuemeka.

1740493180849.png
 
Hata hivyo matarajio yetu sio makubwa tunayotaka kwenye hii timu changa, Europa tu inatosha

Msimu uliopita walifanikiwa kucheza UECL ambayo mimi naona ni mafanikio makubwa
Msimu huu wakifanikiwa kucheza Ueropa league bado ni hatua kubwa wamepiga na msimu ujao wakiweza kuingia UCL watakuwa wamekuwa wamekomaa vizuri kuweza sasa kushindani ubingwa wa EPL
Hii ya Europa, Maresca akishindwa atakuwa kocha fala mkubwa kwa sababu kuu tatu
Kuna kila hali kwamba Chelsea itapewa nafasi 5 za UCL msimu ujao na hivyo Europa zikaenda timu mbili ambazo ni namba 6 na namba 7
Hata hivyo Chelsea ikishindwa kushika namba 6 au 7 bado wanayo UECL ambayo wakishinda wataingia moja kwa moja Europa league kupitia hayo mashindano.
Zote hizo Chelsea ikifeli basi naafiki kabisa Maresca afukuzwe
Mkuu hii timu imeshakuwa ya kupiga ramli. Tukubali tuu ukubwa wetu umebaki jina na historia ya makombe tuliyobeba huko nyuma. Kamwe Hatuwezi kurudia Kwenye makali yetu Kwa kutegemea kupiga ramli. Muda utaongea tuu. Jiandae kwa maumivu makali huko mbeleni.
 
Mkuu nakataa
Dalili za kurudi enzi yetu na kwenye utukufu wa raha unaonekana wazi
Hawa matajiri wetu kumwaga pesa nyingi ni ishara kuwa wanapenda mpira ila kwenye approach mbaya. Na wao wanapata uzoefu kama vile kocha na wachezaji nao wanavyopata uzoefu. Msimu huu wa kiangazi naamini wataziba viraka vya striker mzoefu Beki mzoefu na kiongozi na kusajili angalau winga mfungaji upande wa kushoto. Watamuita Adnrey Santos au kumsajili DM ambaye atacheza na Caicedo ili Enzo Fernandez awe huru kucheza kama namba 8 au namba 10.
Naamini kabisa kuanzia msimu ujao wa 2025/26 hii Chelsea haitafanya vizuri na kuishia Disemba kama ilivyofanya msimu huu. Watafanya vizuri hadi kufikia May 2026

Karibu jiandae mkuu kwenye karamu ijayo kwa sababu tunaipata Chelsea yetu ya zamani

Wewe naona umekata tamaa sana
Kukata tamaa ni ugonywa unaweza kukula ini, koyo na bandama
Weka tumaini na imani ili uwe na afya bora
 
Chelsea vs Southampton

4-2-3-1

----------------Neto -------------

Sancho ---------Nkunku---------Palmer

------Enzo----------Caicedo-------

Cucurella--Colwill --Tosin ----Gusto

--------------Jorgensen--------------

Bench
1) Sanchez
2) W. Fofana
3) Asheampong
4) James
5) Samuels-Smith
6) KDH
7) Amougou
8) George
9) Mheuka
 
Mkuu hii comment yako naifanyia lamination. Tutakumbushana huko mbeleni.
 
Leo kwenye maandamano kuna walioleta hili la wangeinunua Brighton badal ya Chelsea

Mashabiki wa Chelsea bado wako hapa wakiimba "Roman Abramovich" pia kuna nyimbo zinazosema "mngeinunua Brighton" (@NizaarKinsella)

View: https://x.com/CFCPys/status/1894455795779027028

Hii nzuri vita vya Ukraine vinaelekea kuisha, ile pesa ya mauzo ya THE BLUES bado ipo hazina ya serikali ya England.

Blue Co tunawarudishia pesa yao, Roman anarudi kumchukua mtoto wake mpendwa THE BLUES.
 
Chelsea vs Southampton

4-2-3-1

----------------Neto -------------

Sancho ---------Nkunku---------Palmer

------Enzo----------Caicedo-------

Cucurella--Colwill --Tosin ----Gusto

--------------Jorgensen--------------

Bench
1) Sanchez
2) W. Fofana
3) Asheampong
4) James
5) Samuels-Smith
6) KDH
7) Amougou
8) George
9) Mheuka
Tufungwe hii mechi maandamano yapambe moto
 
Filip Jorgensen ananifanya niumwe tumbo kila anapoanzisha mpira. Anazubaa na akipasi anatoa pasi mbaya kweli na karudia hivyo karibia mara nne tano. Nilikuwa namtetea ila sasa basi. Mjinga sana ananikumbusha badiashile anapokaa na mpira hadi anashi9ka kiuno. Mashabiki wanampigia kelele za kumzomea, na inaonekana hajagundua hilo hadi pale Colwill alipomlazimisha kuanza ili kupunguza mvutano wa mashabiki.
 
Magoli yote haya afu palmer hana hata moja 😂 dah
Kiwango chake kimeshuka sana na hapo Maresca lazima amechangia kwa kutomtia moyo tangu mwanzoni. Nadhani pia Jackson anainfluence kubwa na uchezaji wake mzuri. Ngoja tuone Jackson atakaporudi
 
Back
Top Bottom