lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Hata hivyo matarajio yetu sio makubwa tunayotaka kwenye hii timu changa, Europa tu inatoshaMkuu Wastani wa Umri mdogo is not applicable EPL, bali EPL inajitaji world class experienced players kubeba Kombe.
Msimu uliopita walifanikiwa kucheza UECL ambayo mimi naona ni mafanikio makubwa
Msimu huu wakifanikiwa kucheza Ueropa league bado ni hatua kubwa wamepiga na msimu ujao wakiweza kuingia UCL watakuwa wamekuwa wamekomaa vizuri kuweza sasa kushindani ubingwa wa EPL
Hii ya Europa, Maresca akishindwa atakuwa kocha fala mkubwa kwa sababu kuu mbili
1) Kuna kila hali kwamba Chelsea itapewa nafasi 5 za UCL msimu ujao na hivyo Europa zikaenda timu mbili ambazo ni namba 6 na namba 7
2) Hata hivyo Chelsea ikishindwa kushika namba 6 au 7 bado wanayo UECL ambayo wakishinda wataingia moja kwa moja Europa league kupitia hayo mashindano.
Zote hizo Chelsea ikifeli basi naafiki kabisa Maresca afukuzwe