Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

Andaeni polisi na bunduki za kutosha safari hii matrako yenu
ghadhabu na matusi hayahitaji nguvu wala akili mingi kuyadhibiti πŸ’

utadhibitiwa kistaarabu wew pamoja na mitusi yako na watu na mambo mengine yaendelee sawa sawai bila mbambambaπŸ’

so,
andaa matusi ya kutosha ili utambulike haraka na kupata zawaidi yako mujarabu mapema sana.
 
just relax, wait and see πŸ’

hamtafurukuta kabisa this time round tena
Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?
 
CCM hakuna chemistry, iletwe katiba mpya uone chemistry inafananaje.
 
Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akili

Ndo maana nchi Haina umeme na deni la maccm limefikia tril 90
 
They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.
 
Hata vingeshiriki vyama 1,000 hiyo haimaanishi uchaguzi huo ni wa haki. Hakuna uwezekano wa watu kutaka tume huru ya uchaguzi zaidi ya miaka 30 bila mafanikio, huku uhuni ule ule ukifanyika, na 2020 ikawa wazi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu kuendelea kushiriki upuuzi wa aina hiyo, lazima awe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana.

Mtu mjinga tu ndio huamini wingi ndio uhalali wa jambo, na sio ubora au ufanisi wa jambo husika. Kama huamini kuwa watu wanaojitambua, subiri uone voters turnout itakavyokuwa ndogo sana kuanzia Sasa. Hapa tulipofikia panaitwa enough is enough.
 
kwamba eti wanaopanga mipango ya upinzani mfano chadema,
eti first class brain wao ndio kama vile yule jamaa wa Arusha au yule wa Tarime,
unategemea watajipanga vizuri kweli?[emoji205]
Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.
 
Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.
 
Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.
yes ndiyo hiyo,
ambayo imenyong'onyeza na kutokomeza kabisaa matumaini ya upinzani kupata chochote uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
this is CCM bana
 
Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.
badilisheni kisingizio na sababu ya kukataliwa na wanainchi na kushindwa uchaguzi πŸ’

hiyo sio excuse ya kudoofisha ushindi wa kishindo wa CCM.
mtapigwa vizuri sana serikali za mitaa, lakini mtapigwa vizuri zaidi uchaguzi mkuu, bila mbambamba yoyote πŸ’
 
kua na maoni ya kwamba Tume ya uchaguzi ni huru ama si huru bado ni maoni na mtazamo wako binafsi huru na ni haki yako...

na wale tulio wengi nchini, wenye mitazamo na maoni tofaut na yako tutaendelea kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi huru, wa wazi na wa haki ikiwa ni kutekeleza haki yetu ya kikatiba kuchagua viongozi tunaowataka πŸ’

mbambamba baki nazo, ndio saizi yako na wachache wenzio, tunawaheshimu sana na muwe watulivu tu, maana hakuna namna nyingine sasa πŸ’
 
They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.
your opinions are your rights πŸ’

but Electoral Commission of Tanzania is always free, conducting free, fair and transparency elections in nature with national and international standards....
 
Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akili

Ndo maana nchi Haina umeme na deni la maccm limefikia tril 90
eti first class brain anazira kwa gubu πŸ’

badala ya kujoins brains na kuja na mbadala wa hoja, sera au uelekeo analalamika, anasusa na kuzira 🀣
 
Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?
relax usipanic πŸ’

don't narrow down your thinking capacity...
hapana kuchafukwa wala kuhemkwa na mipango ya wengine ..

usizubae na imani potofu ati sijui nan hatambuliki au hahitajiki wap🀣
hiyo ni bure kabisaa, useless πŸ’
 
Amini usiamini, hizo ni sifa za ccm broo. Wewe jiulize tu, kwa nini hawataki Tume huru? Wanashinda kwa wizi tuu. Wanajua kabisa uchaguzi ukiwa huru hawatoboi kamwe..

View: https://youtu.be/cMBS4qMPJ8M?si=u81NLI-DXJ3sR5vn
tume huru ipo kwa mujibu wa Sheria na katiba ya nchi πŸ’

hiyo unayoitaka wewe iunde kwa katiba yako mwenyewe na ufanye uchaguzi wako mwenyewe, no problem πŸ’

wanainchi wa Tanzania watashiriki uchaguzi wa Serikali za mtaa mapema mweshoni mwa mwaka huu 2024, na vile vile watashiriki kikamilifu uchaguzi mkuu huru wa oct.2025 bila mbambamba za mtu yeyeto, chini ya Tume huru ya uchaguzi iliyopo πŸ’

hayapo wa kumlazimisha au kumshurutisha mtu mwingine, ashiriki haki yake ya msingi ya kuchagua viongozi wanao wataka, kila moja yuko huru...

ukiona sawa shiriki shiriki, ukiona si sawa tulia nyumbani na ujiinjoy na familia yako, unababaika na nini πŸ’
 
Ni hali tete na ya kukatisha tamaa sana upinzani kutokana na safu hii [emoji205]

Hili liko bayana kabisa...
Ni lini ulishawahi kukosoa safu yoyote ya uongozi ndani ya CCM? Leo kama angeteuliwa Steve Nyerere kuwa mwenezi bado ungesifia tu. Chawa hanaga maoni yanayojitegemea siku zote ni kujipendekeza kwa yoyote anaepata madaraka.

Kila uteuzi unapofanyika badala ya kufikiria hao viongozi watawahudumiaje wananchi, kazi yenu ya kwanza mnafikiria watawakomeshaje wapinzani hasa Chadema. Watu wa aina yako ni kizazi cha hovyo sana.
 
kwahivyo umeghadhabishwa na maoni yangu dhidi ya mabadiliko ya viongozi waandamizi CCM 🀣

si mbadilishe na ninyi tuwajadili πŸ’

kwahivyo Chadema mnahisi mabadiliko haya yatawakimesha 🀣

kumkomesha bwanamdogo kwa mnyika ni kumuonea tu coz hana impact yoyote na wala sio tishio πŸ’

CCM inalenga kuwahudumia, kuwaongoza na kuwatumikia wanainchi, gubu mbaki nazo huko huko πŸ’
 
Safari hii CCM ifanye ifanyavyo hawana chao , Mungu amekifuta Mda kiutawala chama ichi , machawa jiandaeni kwenda Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…