Kuwa mwerevu wa kuchangia hoja, hapa waisalamu wameingiaje na iman yao ya kukataa kitimoto.waislamu mshaulini chibu ni muislamu mwenzenu anaendekeza zinaa mpo tu mmenyamaza ila mkisikia kitimoto mnashupaza shingo.
Ewaaaaah pamoja mzeeOCG - Kazeze
Jifunze kwanza kuandika mkuu, mshaulini ndio nini tena!!waislamu mshaulini chibu ni muislamu mwenzenu anaendekeza zinaa mpo tu mmenyamaza ila mkisikia kitimoto mnashupaza shingo.
KabisaMjazeni ujinga tu,
Hako katoto ndio katakuja kumuosha akiwa hoi kitandani kwa maradhi ya kupooza mwili.
Baba levo huu muda ungekua unabuni style mpya za kumnogesha boss wako unayetaka kumzalia watoto wanneBiashara ya kuuza mwili wake kajaribu imegoma Sasa naona anatafuta wanaume huku
Kidini sio Mtoto wake,ana haki ya kumkataa na Hana urithi piawaislamu mshaulini chibu ni muislamu mwenzenu anaendekeza zinaa mpo tu mmenyamaza ila mkisikia kitimoto mnashupaza shingo.
Gonjwa hili limezua.....Ruge-->Nandy ----Jizzo-->Betto --->Nandy-->Nenga --->Betto-Nenga.
Ni Kazeze Ni Kazeze Ni Kazeze ilikuwa ni saa kumi kasorobo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akihadhini allahu akbar allahu akbar akiwa anamaanisha Mungu mkubwa Mungu Mkubwa.
Nenga na Linah tena [emoji849] aloo jamaa kakichafua kumbe.Mobetto na Nenga wamekulanaaa sanaaa, tena hata kabla Nenga hajatua kwa Linah, wala sio story mpyaa mjini. Labda hukuwa unafatilia udaku mwayaaa.
Na ni kweli wakati ulee Dylan alikua ameshazaliwa kitambooooo, sijui labda walianzaa zaman hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea acha bas, mbna Nenga na Linah ilikua sio siri.
Nillan enyewe inasemekana DNA iligomaaa.Hawa ndo watoto halisi wa diamond sasa,
Nillan and naseeb jr [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mdomo wa mond tunauonaView attachment 2451156
[emoji23][emoji23][emoji23] mwee cheni ni ndefu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea acha bas, mbna Nenga na Linah ilikua sio siri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na Nenga nae alipitamo...duuh hii kali nilikua sijuiYaan Wabongo siwawezi kwa kweli, hadi wameweza kuwafarakanisha Domokaya na Hamissa kuhusu mtoto Dylan.
Ila watu, akati mobetto alishasema amekua kwenye mahusiano na Nenga wakati Dylan aba miaka 2, sasa itakuaje awe mtoto wake. Khaaaaaah
Wabongo nawagawa bureeee, uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yule wa kwa zari yule mmoja wa kiume ni King ivan mtupu ila wanawake hawa wana roho mbaya sana.Nani katoa hiyo siri kwa watu, mashoga zake Hamisa ama nani? Kwamba mtoto siyo wa domo