NUMBER 10
Member
- Aug 4, 2021
- 97
- 159
Kuwa mwerevu wa kuchangia hoja, hapa waisalamu wameingiaje na iman yao ya kukataa kitimoto.waislamu mshaulini chibu ni muislamu mwenzenu anaendekeza zinaa mpo tu mmenyamaza ila mkisikia kitimoto mnashupaza shingo.
Kama una hasira za wazi nakusihi tafuta mahapa ukae assa kheir zitashuka hasira zako inshaallah