Mkuu sijasema satelite, nimesema space station. Ukiiondoa china hakuna nchi yenye space station yake peke yake kwa sasa. Hiyo space station nyingne ni muunganiko wa Us, Russia na shirika la anga la Ulaya.Mkuu nchi kujitengenezea space station siyo kituo kidogo
Hizi low orbit satellites hata India anafanya.
Naanza kuwaona waarabu wanatoka kwenye ramani aisee. Hali ni mbaya. Kama gari inakwenda 1000km per charge sio mchezo, kwenye website ya haya mabasi ya yutong wametoa basi za umeme, naona zina range ya 18 km itakuwa ni city buses kwa sababu zipo hadi hizi za mwendokasi.Umeona test ya Nio ya CEO wake jana. Gari lao la umeme la ET7 limeenda kilomita 1000 bila kuwa recharged na likabaki na kachaji kidogo. Yani unaweza toka Dar hadi Mwanza bila kuchaji na gari lenyewe sijui ilikuwa sedan, crossover au SUV. Sio truck
Private space company ya China nayo ifahamu kwa haraka ni i-space halafu fahamu kuwa uchumi wa China umetawaliwa na mashirika ya umma una tabia za kikomunisti sio ubepari hii pia inaweza chagiza utofautiAt least umeelewa NASA iko juu ya huyo Mchina unayemtetea
Hebu turudi kwa Space X, naomba utaje jina la hilo shirika la China unalosema limefanya hayo yote ili nijue unataka kumlinganisha Space X na nani specifically.
I mean jina kama unavyoitamka NASA au Space X, nitajie hiyo ya Kichina nataka niifuatilie
Mimi shirika la china nalozungumzia ni la serikali kama ilivyo Nasa linaitwa China national space agency CNSAPrivate space company ya China nayo ifahamu kwa haraka ni i-space halafu fahamu kuwa uchumi wa China umetawaliwa na mashirika ya umma una tabia za kikomunisti sio ubepari hii pia inaweza chagiza utofauti
Hata private companies kwenye space china zimeingia juzi juzi tu.Private space company ya China nayo ifahamu kwa haraka ni i-space halafu fahamu kuwa uchumi wa China umetawaliwa na mashirika ya umma una tabia za kikomunisti sio ubepari hii pia inaweza chagiza utofauti
Yaah nafahamu kuhusu CNSA na mafanikio yake ya anga habari zake nafuatilia ila bado hawaja fikia mafanikio ya ya Nasa ya anga kutokana na sababu mbalimbali.Mimi shirika la china nalozungumzia ni la serikali kama ilivyo Nasa linaitwa China national space agency CNSA
Ndege kuanza kuruka haimaanishi ndio ilianza development. Mfano wakati Urusi inaanza project ya 5th generation fighter ambayo ikaizaa PAK FA, ambayo iliitoa Su-57 muda huo Marekani haikuwa imeanza project ya kuitoa F-35. Project ya Su-57 ilianza 1999 baadae ikawa cancelled kwa ukata na kuendelezwa tena. Project ya F-35 ilianza 2001. Ila sasa, F-35 first flight ikawa 2006 na ikaingia jeshini mwaka 2016 wakati PAK FA first flight ni 2010 na Su-57 imeingia 2020. Hapo zingefanana huwezi sema F-35 imeibia kwa Su-57.Lakini kwa maelezo hii Tu-144 ilitangula kuruja kabla ya concord.
Halafu kwa maelezo wanasema zilikuwa lazima zifanane kwa sababu hakukuwa na njia ya kudesign ndege yenye supersonic speed lazima katika design ungeishia kupata umbo hilo.
Pia zilikuwa na utofauti katika mabawa yalipowekwa, engine zilizotumika na mambo mengine.
Najua haujaijua Huawei vizuri, upande wa simu ndio sanctions ya Marekani imeumiza lakini Huawei is more than smartphonesKwenye sakata la Marekani na Huawei bado Huawei ndio loser
Sanction za Mmarekani zimeiathiri sana Huawei, haijalishi Huawei ataendelea kutengeneza product bora au la.
Huwezi shindana na Mmarekani
Nawaheshimu wachina na jamii mfanano wake Korea na Japan kutokana na sababu zangu binafsi.Hata private companies kwenye space china zimeingia juzi juzi tu.
Kitu ambacho watu hamtaki kukiona ni hatua alizopiga kwa muda mfupi wakati kawakuta key players.
China karibia kila anachoanza mwisho anakuja kuwa ndiye kinara.
Aliamza uunzi wa meli, sasa karibu nusu ya meli zote zinazoundwa ni china.
Sasa imekuja hata kwenye EVs.
Wait kidogo utasikia hata ndege za abiroa baada ya miaka michache
Nasa ipo kwenye game kitambo.Yaah nafahamu kuhusu CNSA na mafanikio yake ya anga habari zake nafuatilia ila bado hawaja fikia mafanikio ya ya Nasa ya anga kutokana na sababu mbalimbali.
Ila kwa sasa wapo moto na ninaona kwa miaka ijayo kama speed yao waliyo nayo sasa wakiongeza wenda watafika mbali.
Ila binafsi naikubali Nasa wapo vizuri
Sanctions huwa hazifanyi kazi wakati wowote ule. Sanctions ni tisha tisha toto binafsi naiona ni Siasa za hadaa kutafuta uungwaji mkono tu.Sanctions hazifanyi kazi kwa China.
Haijaathiri mauzo yake kwenye soko la duniaTatizo la mchina majina yake ya kiboya, atumie Generic names za kizungu tu!
Hakuna Range yenye muundo kama wa BYD Yang WangNilivyoiona tu nikasema daa kama Range
Hata China itafika muda shirika la taifa litafanya ushirikiano na mashirika binafsi katika tafiti na urushwaji wa vyombo.Nasa ipo kwenye game kitambo.
CNSA imepiga hatua kubwa. Na NASA now analegalega historia imebaki kumbeba ndio maana projects nyingi now anazioutsource kwa private companies. Mfano space x ndiye atatengeneza chombo kitachoenda mwezini.
Moja kati ya sababu ya nasa kulegalega ni budget, serikali ilikata budget ya nasa kwa kiasi kikubwa toka utawala wa bush nadhani.
Halafu projects nyingine ni collabo. mfano james web ni collabo kati ya Nasa na shirika la amga la ulaya.
China naye anaunda darubini inayofanya kitu kile kile kama jamesweb ila yake itakuwa ni darubini ndogo ndogo zilizokaa angle tofauti na zinatazama kwenye point moja at a time kisha zinaunganisha picha kuwa moja.
China ina space technology inayokua haraka ila haina kelele kabisa na taarifa zake zimekuwa ignored na dunia. Watu ukiwaambia China inaizidi Russia kwenye space technology wanabisha.At least umeelewa NASA iko juu ya huyo Mchina unayemtetea
Hebu turudi kwa Space X, naomba utaje jina la hilo shirika la China unalosema limefanya hayo yote ili nijue unataka kumlinganisha Space X na nani specifically.
I mean jina kama unavyoitamka NASA au Space X, nitajie hiyo ya Kichina nataka niifuatilie
Kwenye smartphones Huawei ameshaumizwa na MmarekaniNajua haujaijua Huawei vizuri, upande wa simu ndio sanctions ya Marekani imeumiza lakini Huawei is more than smartphones
Na upande wa smartphones amerudi sasa ni suala la muda kuona Huawei anarudi kivingine kwenye soko la dunia
Hiyo gari inazunguka kama kisahani mambo ya riverse kwishaHakuna Range yenye muundo kama wa BYD Yang Wang
Kilichopo kati ya US na china ni sawa na vita baridi ua tech.Hata China itafika muda shirika la taifa litafanya ushirikiano na mashirika binafsi katika tafiti na urushwaji wa vyombo.
Mambo ya space yana gharimu fedha nyingi ambazo ni kama hasara kubwa kwa serikali kufund lazima ifike muda serikali inyooshe mikono tu
Huawei P60 ina run 5G mpaka satellite call nafikiri kwa makampuni yote duniani ya simu upande huo kwa matokeo mapya wao wanaongozaKwenye smartphones Huawei ameshaumizwa na Mmarekani
*Huawei P60 Pro ni simu expensive kama shilingi milioni mbili hivi na bado inaishia internet speed ya 4G tu kutokana na limitation za chipset ambazo Mmarekani amempatia, Nani anataka simu expensive isiyo na 5G tena haiko optimised na Google services
Huawei ataendelea kutengeneza simu zenye hardware nzuri ila kwenye software atakosana na wengi. Sio kwamba software yake ni mbaya ila haiko optimised kwa matumizi ya Google services, plus app developers wako busy na kutengeneza apps kwa ajili ya Android na iOS sio HarmonyOS.
Huawei itabidi aendelee kutumia Android kwenye simu zake za Ulaya maana bila Mmarekani hatoboi. Hiyo HarmonyOS aiache kwa Wachina hukohuko
Huawei kwenye soko harudi tena. Kwa China kwenye simu ongelea kampuni kama Xiaomi, Oppo, Vivo, One Plus, Honor, nk ila sio Huawei tena