China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

Miaka 30 kwenye game unaita muda mfupi??? Tena ni 30 recent years maana yake teknolojia imeshakuwa then unaita muda mfupi.

Pia unaposema

"Halafu sometimes budget si hoja. Hivi unajua chombo cha India alichokipeleka mwezini budget yake nzima haifikio hata budget ya movie ya kimarekank ya interstellar? Ni kama nusu ya budget ya hiyo movie."

Unajaribu kumaanisha nini actually
 
Na kwenye technology ya uundaji magari ya umeme ni hivyo hivyo ,mchina anawaburuza sana na yuko kasi haswa ,mpaka EU wameanza kumuwekea vikwazo
Vita bado mbichi na wazungu hawatakubali kushindwa kirahisi kuna kitu wanamuandalia mchina kwa bidhaa zake ulaya.

Nafikiri hata wao serikali ya China wanafahamu na wamejiandaa kukabiliana nacho.

Huawei bila serikali ya China kusema hii ni nembo ya taifa inapaswa kulindwa kwa gharama zozote ingekuwa imekwisha jifia muda mrefu sana
 
Nasa 1953 cnsa 1993 tofauti ya miaka 40.
Na mind you in 1993 china ilikuwa bado haijawa na uchumi imara ilikuwa bado inajitafuta. Wakati US 1953 ilikuwa tayari nchi kubwa sana na so powerful.
Ni sawa leo tuanzishe shirika la anga la tanzania litakuwepo kuwepo kama jina tu maana hata uchumi wetu hausupport.
CNSA imeanza kufanya maajabu baada ya uchumiw a china kuwa mkubwa.
 
Yah ! BYD wanafyatua magari ya umeme kama hawana akili nzuri , na ni reasonably cheap kuliko European / American brands
Yaani wazungu walinogewa na Kitonga
 
Mkuu sikuzote Mchina huanza hivyo, watu wanamtilia shaka then anakuja ku-compete na hata ku-outcompete kampuni zingine

Miaka 10 iliyopita hakuna aliyejua kuhusu China based brands kama BYD, Hisense, Xiaomi, ByteDance/TikTok n.k lakini leo ni brands kubwa duniani

Leo anatawala soko la electronics, light vehicles, passenger autos n.k duniani
 
Lakini imeuza kiasi kwamba ameshindwa kumeet demand. Hapa anataka kupeleka production nyingine ifanyike hong kong. Demand ya simu ya mate pro na mate pro 60 imezidi uwezo wake wa uzalishaji.
Huawei zinanunuliwa zaidi na Wachina wenyewe
 
Huawei zinanunuliwa zaidi na Wachina wenyewe
Soko la china siku zote linaanzia kwake kabla ya kwenda nje. Wakati anawekewa vikwazo huaweo alikuwa anamtoa samsung kwenye soko ulaya. Same thing is happening kwa EVs made in europe na tesla. Byd amekamata soko la EVs sasa wameona wamlime makodi.
China amekuwa unstoppable....
 
Hicho kipindi cha 1990s ndio kipindi ambacho China imeanza kukua kwa kasi kiuchumi
Maana yake ni kwamba hiyo CNSA imenzishwa katika kipindi ambacho teknolojia inakua na China pia inakua kwa kasi
 
Mchina hayuko vibaya
Ninachosema ni kwamba hawezi kumfikia Mmarekani
 
Hicho kipindi cha 1990s ndio kipindi ambacho China imeanza kukua kwa kasi kiuchumi
Maana yake ni kwamba hiyo CNSA imenzishwa katika kipindi ambacho teknolojia inakua na China pia inakua kwa kasi
Si kasi ya kuweza kufund space projects kwa kiasi kikubwa kama anavyofanya sasa.
Now kawekeza sana na amelenga kutumia solis fuel baada ya liquid katika rockets zake.
Anafanya research nyingi zaidi. Kipindi cha miaka ya 90 china uchumi ulikuwa unakua lakini alikuwa ana demand nyingi za kufanya kuliko sasa.
CNSA imekuwa sana zIdi kwa miaka hii 15-20.
 
Huawei za zamani zilikuwa zinatumia chip za Mmarekani na OS ya Mmarekani, vitu ambavyo dunia inahitaji ndio maana kazi ya Huawei ilikuwa ni kutengeneza hardware bora then Mmarekani anamalizia that's why aliweza kuwa mkubwa kama wenzake akina Samsung na Apple

Sasa huyu wa sasa hivi kakaa Kichinachina, nani nje ya China atamtaka. Soko lake safari hii litakua ndani hukohuko
 
Mchina hadi pikipiki na baiskeli za umeme zipo kibao na anafyatua na anauza sana Europe , wazipige kodi kubwa sasa nazo ,
 
Mchina hayuko vibaya
Ninachosema ni kwamba hawezi kumfikia Mmarekani
Kwa sasa hajafika ila kwa kasi aliyo nayo atamfikia na kumpita.
Maana kila anachofanya mwishi anabeba crown. Na tofauti ma nchi nyingi unakuta ni mashuhuri kwa vitu fulani, yeye anataka awe mashuhuri kwa kila kitu. Si uunzi wa magari, ndege, rocket, meli, silaha, research papers, electronics yani anataka kote kote awepo kama si 1 basi 2.
Baada ya miaka 20 Mungu akituweka hai tutashuhudia mengi
 
Huwaei,ilikuwa zaman sahiv ni kopo kama Motorola
Simi ya mwisho ya huawei umetumia simu gani? Mate 60 pro hiyo iliyotoka juzi juzi inaenda kuuza únits milion 17. Demand ni kubwa kuliko uzalishaji.
Shida ni kwamba sisi watumiaji wa google ecosystem kuinunua ni kujitesa
 
Nimetumia Instagram kwenye Windows phone mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…