China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

Kwani application za Android Ni zipi ?
 
Nimetumia Instagram kwenye Windows phone mbona
App ya windows phone ilikuja late nadhan 2013 au 14 kabka ya official instagram ilikuwepo moja ilikuwa sijui inaitwaje lakini inamalizika na gram ila haikuwa poa.
Windows phone ilikuwa haina apps kibao pendwa kwa watu na nyingine zilikuwa zinachelewa sana.
Sema pia nadhani waliikatisha mapema wangekomaa miaka 4 mbele nahisi ingetoboa. Zilikuwa simu poa sana zina camera kali.
Developers walitufelisha pale
 
Marekani ndio iko vizuri kwenye kila kitu sio China
  • Kwenye laptop Marekani yuko juu
  • Kwenye simu Marekani yuko juu
  • Kwenye space exploration Marekani yuko juu
  • Kwenye kilimo, angalia matrekta yenye nguvu zaidi duniani, utakuta ya Ujerumani, India ila Mmarekani naye lazima umkute ila sio China
  • Simu nyingi za China zinazofanya vizuri zinatumia Android (ya Mmarekani)
  • Laptop zinategemea Windows (Mmarekani)
  • OS iliyoleta ushindani kwa Android ni iOS ambazo zote ni za Mmarekani mwenyewe
  • Kwenye laptop washindani wakuu wa Windows ni Chromebook OS na MacOS tena ni za Mmarekani mwenyewe, Wachina wenyewe wanatumia sana hizi
*China ndio ina iPhones nyingi kushinda hata Marekani ambako ndio zinatokea
* Kama ni michezo Marekani iko vizuri kwenye basketball, angalia NBA
*Makampuni popular ya chip za simu ni Qualcomm, MediaTek na ushindani wanaletewa na Apple Bionic. Wote hawa ni Wamarekani. Can you imagine [emoji23]
* Kwenye sanaa, muziki wa Marekani uko vizuri kuliko wa China
*Movie za Marekani ni za teknolojia ya hali ya juu sana yani huku Mchina hagusi hata robo
  • Kwenye magari Marekani iko vizuri kuliko China
  • Kwenye masuala ya AI bado Mmarekani anafanya vizuri
*Ukiongelea uchumi wa mtu mmoja mmoja Marekani iko vizuri


Huoni kama Marekani ndio iko vizuri kwenye kila kitu na sio China?
China hawezi kuizidi Marekani labda kama unaongelea kuizidi GDP pekee
 
Najua haujaijua Huawei vizuri, upande wa simu ndio sanctions ya Marekani imeumiza lakini Huawei is more than smartphones

Na upande wa smartphones amerudi sasa ni suala la muda kuona Huawei anarudi kivingine kwenye soko la dunia
Biashara kubwa nyingine ya Huawei no kwenye kubuni na kuzalisha telecommunications equipment Kwa makumuni ya mitandao ya simu,5G items nk .
Ingawa pia huko nako wamempa vikwazo
 
Simi ya mwisho ya huawei umetumia simu gani? Mate 60 pro hiyo iliyotoka juzi juzi inaenda kuuza รบnits milion 17. Demand ni kubwa kuliko uzalishaji.
Shida ni kwamba sisi watumiaji wa google ecosystem kuinunua ni kujitesa
"Shida ni kwamba sisi watumiaji wa google ecosystem kuinunua ni kujitesa"

Afadhali umeelewa kwa nini Huawei atapata tabu kutafuta soko nje ya China
 
Biashara kubwa nyingine ya Huawei no kwenye kubuni na kuzalisha telecommunications equipment Kwa makumuni ya mitandao ya simu,5G items nk .
Ingawa pia huko nako wamempa vikwazo
Vikwazo everywhere
Hayo ndio madhara ya kukorofishana na wababe wa dunia. Umeota nywele kwapani juzi then unaanza kukoromea watu wazima? Ndio yaliyomkuta Huawei [emoji1][emoji1]
 
Ngoja nilale nikiamka kesho nitakuletea stastics za vitu ambavyo china anaongoza. Kwa kuanzia tu nusu ya order za meli zote zinazoundwa duniani anaziunda mchina, sasa hivi ndiye anaongoza kwa kuuza magari, tech ya train zenye kasi mchina, hizo train za maglev ziko china, korea, japan na mchina anazo nyingi zaidi.
Kesho nikiamka Inshallah ntakuketea vitu anavyoongoza.
Kwa sasa mchina hajampita mmarekani ila kwakuwa anataka kufanya kila kitu baada ya muda atamkaba na baada ya muda zaidi tukiwa hai huenda akampita.
Usiku mwema
 
Usiku mwema na kwako pia
 
"Shida ni kwamba sisi watumiaji wa google ecosystem kuinunua ni kujitesa"

Afadhali umeelewa kwa nini Huawei atapata tabu kutafuta soko nje ya China
Vitu vinabadilika. Akitengeneza ecosystem nzuri watu watahama. Umesahau kipindi yahoo kadominate. Inaweza kuchukua muda lakini with time na ulazima watu wazoea tu
 
Umeandika kana kwamba wote tunaelewa kinachoendelea kati ya US na china.
 
James Webb imetumia pia experience ya Hubble. Kuna gap kubwa sana kiteknolojia kati ya Hubble na Webb na vilevile nchi ambayo haijapitia kwa teknolojia kama Hubble kuna vitu itakosa itatumia muda na trial and errors nyingi kufanikiwa.

Kwenye space kuna stage hazirukwi, yani kinachofanywa na Iran kwa sasa kimefanywa na Marekani miaka ya 1960s ila Iran haiwezi ruka stage kisa kwa sasa teknolojia imekua duniani.

Wakati huo successor ya Webb ilitajwa jina itarushwa kwenye 2040s uko. Sisi tuendelee kuwa machawa hatuna mipango mikakati.

Alafu hivi vitu inategemea na aliyeunda anatafuta nini. China wanataka sana kujua resources zilizopo nje, suala ambalo US na USSR walianza nalo ila wakajua chenga ndio maana ukiona zile craters karibia zote kwenye mwezi na sayari kama Mara zina majina ya Kirusi na Kimarekani. Baadae unaona NASA wapo mara wanatafuta maji mara wanatafuta hewa ya oksijeni na life like habitat. So sio rahisi vifananie ila kwa image generation Webb ni hatari, sababu inatafuta sayari, ulimwengu wa mbali, black holes, etc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahah
handei ๐Ÿ˜€
 
Yaani hapa hujaeleza.point hata moja umesimulia tu
.
Ulipaswa utuambie what is krini 9006C. Je Technology yake how far is it from tha of US. What benefits are we going to get with the chip?
 
Be specific
Taja hizo sector

Biggest Share in Global Manufacturing:

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: 28.7%
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States: 16.8%
๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan: 7.5%
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: 5.3%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India: 3.1%
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea: 3%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy: 2.1%
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France: 1.9%
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdom: 1.8%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia: 1.6%

*Global Manufacturing Output
Source: World Bank

 
Yaani hapa hujaeleza.point hata moja umesimulia tu
.
Ulipaswa utuambie what is krini 9006C. Je Technology yake how far is it from tha of US. What benefits are we going to get with the chip?
Nimeweka kwenye jukwaa la tech nikiassume wengi wanaelewa. Technology ni hiyo 5nm mafucturing technology. Na point si kwamba ameipita US bado, ila kwa ban aliyowekewa walitegemea hata 7nm aweze walau kuitengeneza 2029 lakini badala yake 7nm na 5nm zote ameziachieve ndani ya less than 4 years.
By the way intel katangaza kuja na 2nm, so unawza kuona kuwa US bado yuko mbele ila china ana catch up kwa haraka so withini time huenda wakawa even.
 
Anajiandaa kuanza kuitumia Os yake ya Harmony NEXT kama sikosei mwakani kwenye huduma zake zote,yaani kwenye Ecosystems ya vifaa vyake vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ