Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
- Thread starter
- #201
Kipilipili tafadhali naomba namba yako nataka nikuulizie
mkuu unaweza kuuliza hapa ili na wengine wafaidike. Au kama ni ishu binafsi naomba njoo PM, nimesitisha kutoa namba yangu kwa sababu baadhi yetu sio wastaarabu na mimi lengo langu hapa si kufanya biashara ila kusaidia TAARIFA tu.