China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Kula au kutokula nguruwe hakuna effect yoyote kama akili huna ni huna tu na kama unazo ni unazo tu.
Fuatilia mataifa na makabila yote yanayokula nguruwe, uone jinsi walivyofanikiwa kimaisha na uwezo wao mkubwa wa kiakili hapa bongo chukulia mfano wa Wachaga na wanaishi muda mrefu sana
 
Hawezi leta babu,,,sina zile nyama uzembe za nyuma anazopenda
Hahahaha......................Mwambie afuate Ushauri wetu Wazee, tangu zamani tulikuwa tunaoa Wanawake Kwa kuangalia beauty with Brain

Ndiyo maana tunafungua Kampuni na biashara tukiwaachia Wake zetu ambao wanaweza kusimamia biashara na kuziendeleza
 
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii unapigia mbuzi gitaa babu, achana nae
 
Nilichogundua mataifa yanayoongoza kwa ulaji wa kitimoto yanaongoza/yana uchumi mkubwa pia. Kuna uhusiano wa ulaji kitimoto na IQ kubwa.
 
Wame improve bora wameanza kuondoka na kula kila takataka na kunogewa na nguruwe...ni hatua nzuri kuondokana na kula vitu vya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…