Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
ACHANA NA MATUMIZI YA BANGISafi sana .
China moja peke yake inaweza kuwakalisha ulaya wote.
Halafu Mzee mzima Russia anakula sahani moja na Marekani.
Sioni mahali Marekani atatokea.
Bado vichwa ngumu akina Korea Kaskazini na Iran wakifanya Yao.
Huku Urusi akiwatuliza maswahiba wake wa east akina Tajikisatan, Beralus, na wenzao.
The Collective Security Treaty Organization (CSTO) is an intergovernmental military alliance in Eurasia consisting of six post-Soviet states: Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, and Tajikistan.
Kumbe na Marekani ambaye hawezi kwenda vitani msaada na rundo la washirika wake naye sio super power?Kumbe Russia sio superpower kama tunavyoaminishana humu.
Wewe ungeweza kujitokeza hadharani ?Sasa si wajitokeze wazi kumsaidia?!!kama nchi za ulaya zinavyofanya?!!wanaogopa nini?
NATO literally ni marekani, hivyo vi nchi vingine ni bendera tu, kama haufikirii sawasawa hauwezi kuelewa hilo.Kumbe na Marekani ambaye hawezi kwenda vitani msaada na rundo la washirika wake naye sio super power?
Mbona wamagharibi hawakuona aibu kuisapoti Marekani alipo kuwa ana zivamia nchi nyingine?Tofauti ambayo pengine huijui ama umeisahau ni kuwa, Urusi ni mvamizi na Ukraine ni mhanga wa uvamizi wa Urusi.
Washirika wakubwa wa Urusi wamekosa ujasiri wa kuiunga mkono Urusi waziwazi kutokana na fact hiyo moja ukiacha sababu nyingine za kimaslahi. Kuiunga mkono Urusi kwenye hii vita moja kwa moja ni kuunga mkono uvamizi kwa nchi nyingine yeyote ile duniani zikiwemo nchi za hao washirika wenyewe.
Hujajibu swali langu.NATO literally ni marekani, hivyo vi nchi vingine ni bendera tu, kama haufikirii sawasawa hauwezi kuelewa hilo.
Ni suala la muda mpaka lini? Tayari ametangaza donbase kua ni ardhi ya urusi. Na leo kwenye mkutano wake ameweka wazi kua watajenga bandari za kimkakati kwe black sea, azov nk... maana yake urusi anaenda kujenga miundombinu ya biashara kwenye ardi yake mpya.Ni suala la muda tu! Je umeifuatilia leo hotuba ya putin?ki ukweli anatia huruma yaani hakutegemea hichi kilichotokea,na huko mbeleni muda c mrefu utamsikia CHINA,anataka awempatanishi ili vita iishe!!na ndicho kilichompeleka FM,wa china huko urusi juzi!!je NATO watakubali?!!
Lini uliwahi kusikia Ukraine anaomba msaada kutoka Poland ambao ni sehemu ya NATO na ni majirani zake ?Hujajibu swali langu.
Kwa sababu motive yao ni moja, je, motive ya China na Russia dhidi ya Ukraine ni moja ?Mbona wamagharibi hawakuona aibu kuisapoti Marekani alipo kuwa ana zivamia nchi nyingine?
Kwahiyo sasa hivi Ukraine inasaidiwa na nani zaidi ya hao nato?Lini uliwahi kusikia Ukraine anaomba msaada kutoka Poland ambao ni sehemu ya NATO na ni majirani zake ?
Kariri.HUKUONA PUTO KWA KAKA MKUBWA NI KAWAIDA KWA WATANZANIA KURAHISISHA MAMBO SABABU YA UKARIRIFU.Tuliza mzuka mkuu China alitaka kujaribu kabla akashindwa, kumbuka mshirika wa Urusi nchi 2 au 3 hivi wakati NATO ni zaidi ya mataifa 30 yenye nguvu duniani, China hawawezi ata kujamba, Taiwan tu imewatoa kamasi hadi sasa wanapita tu hukoo pembeni pembeni
Hapa kitufe cha like kiko kimoja ila kimoyoni nimekupa likes 1000.Mafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikazaView attachment 2524334View attachment 2524336
Kawatoa kamasi iran, wabongo sisi.Labda ampe maputo, China hana silaha za kuiogopesha west.
Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Sio lazima wazibe, usahihi ni kwamba anauza na anapo pakufanyia biashara.MBONA MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.TUANGALIE NA KUUSUBIRIA WAKATI.Kama kubishana tushabishana sana.Wengine toka wadogo Ussr amerika.tutulie tucheki mtanange.Kwaiyo India na Brazil wameziba pengo la uchumi wa urusi lilokuwa ulaya na US? mnadanganyana sana, putin aliomba apeleke mafuta soko la dunia kutokana na hali yake mbaya akapangiwa bei ya hasara sasa anatapatapa tu hoi bin taaban ata mwaka tu wa vita, unadhan China na India ni watu wa Putin? hizo zoote uchumi wao unaburuzwa ni US ndio maana China alipoulizwa kama ana mpango kuisaidia Urusi jibu lake likawa hajawahi na hatawahi anaogopa kama mdudu vile vile India walimpa masharti putin aache vita wafanye biashara, putin hana rafiki anaenda na maji
Ni lini Baraza LA Usalama LA umoja WA mataifa lilishawahi kuwa kitu kimoja? Balaza hilo Lina wanachama 5 WA kudumu:
1.Marekani
2.China
3.Uingereza
4.Ufaransa
5.Urusi.
Balaza hilo limegawanyika sehemu 2 kimlengo na kula zao zinagawanyika hivyo. Urusi na Uchina wao Lao moja huku Marekani, Uingereza na Ufaransa Lao likiwa moja.
Umeandika kama mtu mwenye uwezo mdogo sana kiakili.NIMEELEWA KWANINI MRUSI ANATUMIA WAKABAJI NA WEZI, KUMBE ALIKUWA ANAVIZIA WAMAGHARIBI WAINGIE MAZIMA ATIE MEDANI RASMI.KWA CHINA NADHANI BAADA YA KUSUMBULIWA TAIWAN ANATAKA KUMUINESHA AMERIKA KWAMBA WEWE NI MSICHANA KAMA WASICHANA WENGINE.Utofauti upo kwamba wewe emerika ni shangingi.ngoma inogile.
Biden yupo Ukraine. Ampige bomu tuone kweli yupo vizuri.
Russia anaomba msaada wa silaha China na North Korea. Huoni kama hapa Putin ameshafeli tayari?
Ndo uwezo wangu sasa.Umeandika kama mtu mwenye uwezo mdogo sana kiakili.