Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Ndivyo tulivyo! Mambo ya kichina china huwa hatuyashobokei, Mchina ni fake kwa kila kitu.Tafadhali wana ufipa habari hii haiwahusu kabsa. Mnaruhisiwa kuchangia habari za EU huko, hizi za rafiki yetu China, msizikodolee macho.[emoji16]
Lazima aje na terms NGUMU kuliko za mwanzo. Wale si walitakiwa wasibugudhiwe kwa miaka 100, sasa itaenda kuwa LIFE TIMEKumrudia mchina tena ili atusaidie kujenga SGR ni kula matapishi yetu. Magufuli alipoingia madarakani alikuta mazungumzo yetu na China yameiva, China ilikuwa tayari kutoa mkopo wa bei nafuu kujenga SGR kupitia China Exim bank ambao tungeulipa ndani ya miaka 20, yeye akaja akapanguapangua na kuwaleta waturuki instead, lakini waturuki hawana hela kama wachina. Matokeo yake 5 years later tumerudi square one, tumemrudia Mchina atusaidie, Sasa sijui safari hii atakuja na terms zipi!.
TunayumbayumbaMliwakatalia kujenga bandari ya Bagamoyo, leo mnawapa ujenzi wa reli na bwana la umeme. Zambia walishapata bakora ya Mchina.
Kenya hii hii mnayosema ina uchumi bora hapa EAC na ina Rais bora kuliko wote hapa EAC?Hao wachina wamewavuruga wakenya na ile SGR yao sasa wakenya hawana hamu nayo, naona na sisi ndio tunaelekea huko.
Jidanganyeni tu na wimbo wenu wa "rafiki zenu" wachina.
Kawatangazie na wenzako.Ndivyo tulivyo! Mambo ya kichina china huwa hatuyashobokei, Mchina ni fake kwa kila kitu.
Wewe unaongelea ya Zambia mbali huko? Uliza gesi ya mtwara inaenda wapi.WACHINA!!! wawekezaji? waulize wazambia - airport wamechukua wanakusanya mapato wao yaani ni mali yao hadi walipe senti ya mwisho!! Waulize Kenya! Mombasa-
Nairobi standard gauge railway wamechukua wanakusanya mapato wao. Hadi wauza chai ni wachina!! Mchina hana dini wala demokrasia! Tegemeeni ukoloni mkorofi na wa kishenzi kuliko wazungu!
Wana dini 😁, dini si lazima ziwe hizi za Wazungu na Waarabu, Wachina wana dini zao nzuri tu.Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
SGR ya Dar to Morogoro ilitakiwa kukamilika toka nov 2019. Kumbe mapato ya ndani ni uongo tu hamna kitu. Sasa mmerudi kule kule kwa J.K.Acha wivu, mlisema mambo yatakwama na Sgr na JNHEP haitakamilika.
Laiti kama wanakusikia ndugu. Ukishakorofisha wafanyabiashara (kwa kuwaita wapigaji) jua kuna mambo mengi yatakwama. Kwa sasa saruji haishikiki, mafuta ya kula hayashikiki, sukari haishikiki, siku wakivuruga wafanya biashara wa mafuta (petroleum) basi ndio biashara imeishia hapo bro. Sekta binafsi ukishaivuruga, kila kitu kinavurugika. Sekta binafsi ndio mwajiri mkubwa mara kumi zaidi ya serikali.Serikali ya Tanzania iweke mazingira ya wananchi wake kuwa matajiri mambo yatakuwa mepesi sana. Nchi hujengwa na wananchi.
Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Na hawajawai kuwa na dini mileleWachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Kwa hiyo hatujengi kwa pesa zetu za ndani tena?
Bora watoe mkopo TRA iache kutusumbua mtaani.
Tafadhali wana ufipa habari hii haiwahusu kabsa. Mnaruhisiwa kuchangia habari za EU huko, hizi za rafiki yetu China, msizikodolee Macho.😁
Serikali ya TZ iweke mazingira ya wananchi wake kuwa matajiri mambo yatakuwa mepesi sana.
Nchi hujengwa na wananchi.