China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

Great nation on the earth? 😳😳😳
 
Wewe umejijuaje kwamba unayozungumza ni makunwa zaid ya umri wako
Bwana mkubwa, ni kutokana na mazingira yanayonizunguka. Kuna mambo yamesajiliwa na mazingira kuwa ni ya umri au rika fulani. Huwa mgawanyo ndiyo unaokuweka katika kundi la utoto, ujana au uzee.

Ni mazingira yaliyonizunguka!
 
Civilization!!!???? 😳😳😳😳
Mkuu stop this nonsense. Civilized countries don’t treat its own people this way or for that matter even the people from foreign countries.
 
Rocket ya Mchina imevamia ibada ya watu🤣🤣
 

Attachments

  • youngspaace~reel~COnXXpYDWBx~1.mp4
    285.8 KB
By the way niseme tu hongera kwao wote wanaofanya na kutekeleza hizo mssion either awe USA or CHINA but back to the topic ni kweli na ukweli mchungu sana kwamba mataifa yote mawili bado hayajaonyesha dhamira ya dhati kwa nchi zetu za Africa nikirejea argument wanazotoa wadau hapo juu, what i believe all of them wapo Africa coz wanajua Africa ni mahali wanapoweza kutunyonya na kujinufaisha wao kiuchumi either in right or wrong way na jambo ambalo watu wengi hawajui hizi nchi mbili zote zinapigania kuimarisha mizizi yake Africa and thats why leo hii China anaongoza kukopesha mataifa mengi Africa na kufinance project kubwa kwa interest kubwa zinazotuumiza eg Ethiopia, Kenya rail, Tanzania, Rwanda, Uganda and etc, so nadhan tungefanya argument in positive way coz i believe matatizo ya Africa yatamalizwa na Africa yenyewe na si USA or CHINA!!!!!!
 
Did I say anything about United States of America!? We are talking about China so please stay on the relevant subject.
The subject is how Civilized Countries Behave, China and America are relevant epithets of civilized and uncivilized.
 
Did I say anything about America being a civilized country? 😳😳😳
One does not attribute or attach a negative quality to a thing without impliedly and ontically setting a positive moral standard. But for the sake of the argument care to mention any civilized nation on the planet that can serve as a good moral equivalent to China ???
 
There are so many countries in the World that are trying their level best to stand up against so many bad things around the World including genocide, racism and organs harvest but China is not one of them.
 
😂😂😂😂😂 Tuseme ukweli Mkuu hakuna Nchi duniani ambayo inaweza ikasema iko PERFECT lakini nyingi zinajitahidi kupambana na maovu mbali mbali ya kutisha ndani ya nchi zao na nchi za nje lakini si China, ila Marekani ya hawa Republicans inataka kufanana na China Ubaguzi wa rangi nje nje wala hawaogopi. Kuminya haki ya wapiga kura dhidi ya immigrants na weusi nje nje na pia kuminya sheria mbali mbali zinazowawezesha weusi na wahamiaji kupiga kura kwa urahisi nje nje. Kama hali itaendelea hivi basi vita ya ndani wala haiko mbali kutokea. Republicans wamegundua kwamba kama weusi na wahamiaji ambao asilimia kubwa yao hupigia kura Democrats kama watakuwa wanajitokeza kwa wingi kama last election ya 2020 basi kurudi WH na kuwa majority ndani ya Senate na Congress itakuwa ni mtihani mkubwa sana.
Hahahahahaha, sawa kaka BAK
 
Ni masatellite na maroket ya china tu ndiyo yamekuwa yaanguka duniani tangu miaka 15 iliyopita. Wanafanya mambo kwa papara sana ili waonekane zaidi kumbe bado. Kuna satellite lilianguka Atlantiki nusura liangukie New York, kuna Satellite lilikuwa karibu lianguke kwao wakaamua kulilipuwa wenyewe huko huko angani na sasa hivi kuna roketi litaanguka na hakuna anayejua litaangukia wapi. Mwaka 1992 walipewa contract ya kwanza ya kurusha satellite la cellphone za AT&T, wakasababisha hasara kubwa kwa vile walizidi ile escape velocity ya satellite kwenye orbit na satellite lile likapotelea gizani huko angani wakalazimika kuilipa AT&T mabilioni ya pesa kutokana na hasara ile.
 
Hata mimi wa madongo kuinama inaniuma maana kila kitu tunatolewa mfano China, mara oh china kuna chama kimoja ila wana maendeleo mara china hakuna whatsapp na twitter, wala media huru ila wana maendeleo. itafika kipindi tutaambiwa tufute ukristo na uislam kisa China hawana dini ila wameendelea.
 
Hii roketi iliyorushwa na China imerushwa kwa mtindo wa kizamani wa expendable launch system. Madhara yake ndiyo kama hayo kwamba haijulikani itaangukia wapi.

Hivi sasa kampuni kama Space X zinatumia tech mpya ya urushaji wa roketi (reusable launch system). Roketi inarushwa na inarudishwa salama baada ya kutekeleza majukumu yake kisha inaweza kutumika tena kwa majukumu mengine hapo baadaye. Operesheni zake ni kama ndege za kawaida tu.
 
China sio wa kumuamini kazi yake kuiba data tu.. majuzi karusha chombo marekani walazima server zao mara chombo kikapoteza muelekeo so inaonesha China bila marekani ia nothing sasa huko mars labda wampeleke raisi wao kama wapo seriouisly
 
Bahati nzuri mkuu, Mungu mkubwa wale wote walio kuwa wanaeneza uongo mkubwa kuhusu bidhaa za kampuni ya Huawei specifically teknolojia ya 5G, wabaya wa Huawei wote wameondolewa madarakani huko Marekani unceremonously hawakuamini kikicho wasibu - yuko wapi the most rabid hater of Chinese - one Mike Pompeo bila ya kumsahau Donald Trump na genge lake.

Dunia itambuwe kwamba kwa hivi sasa hakuna Taifa lolote Duniani linalo weza kuzuia Tsunami ya kiuchumi, kijeshi na maendeleo ya Taifa la Uchina - mataifa hasimu na Uchina ni vema wajifunze kushirikiana na Wachina kuliko kujaribu kuwapiga vita vya chini chini/kwa kificho.
 
Waamerika wataunda kirusi kingine cha mafua na safari hii watakitupa Beijing sio Wuhan.
Kitawarudia wao na kuwamaliza - walifikiri watawapukutisha Wachina lakini kinyume chake Wamerikani ndio wakawa affected/infected zaidi - walisahua kwamba what goes around comes around. Muda si mrefu kuanzia sasa utasikia US inamuomba Ti-Xing-Ping awapatie chanjo zinazo zalishwa na SinoPharm baada ya chanjo za Makampuni ya Bill Gates (Oxford-AstraZeneca) kuonekana ni usanii mtupu.
 
wewe ni mchina?
 
Viwanda vingapi Marekani imewahi kujenga Tanzania na kuongeza ajira kwa vijana, je, ni infrastrure ngapi Amerika iliwahi kiijengeaTanzania (barabara, reli na madaraja), vyuo vya ufundi, Mahospitali, mawasiliano (Voice na data),Mechanised Agriculture and what have you!! Nothing to talk about zaidi ya propaganda zao za kijinga za kuwatuma viongozi wao kuja barani Afrika kuzuga Viongozi wa kiafrika kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika.

Kinyume chake USA inaendekeza unafiki wao wa miaka mingi wa kutaka bara la Afrika libaki maskini na tegemezi miaka nenda rudi - mali asili za Afrika zitumike kuendeleza Amerika na Ulaya.

Tangu Wachina waingie barani Afrika hivi karibuni, kila Mwafrika mwenye akili timamu ameshuhudia astronomical development/ maendeleo makubwa kweli kwenye nyanja za viwanda, barabara, reli, mawasiliano, kilimo, vyuo vya ufundi,Mahospitali nk -kitu ambacho mataifa ya magharibi walikuwa wanasuha suha miaka nenda rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…