Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Roger that...Stay that way, don't contaminate your brain...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roger that...Stay that way, don't contaminate your brain...........
China has always been a great nation on the planet, ni watu wachache wasiofahamu ndiyo huwa wanapingana na hili. Mnamo karne ya 18 na 19 Uchina ndiyo lilikuwa taifa kubwa na tajiri likifuatiwa na India. Mnamo miaka ya 1800's Uchina alikuwa anamiliki zaidi ya asilimia 30% ya Uchumi wa dunia.
Uchina, Uajemi (Iran) na Israeli ndiyo jamii kongwe zaidi duniani ambazo tamaduni zao zina miaka zaidi ya 6000 na bado ziko vilevile na kwenye maeneo yaleyale. Professor Ian Morrisson kwenye kitabu chake cha WHY THE WEST RULES FOR NOW, anaelezea kwamba The Ming Dynasty ya Uchina ndilo taifa lililokuwa na teknolojia ya kisasa duniani pia taifa lililokuwa limestaarabika sana mnamo karne ya 14.
Wao ndiyo walikuwa wa kwanza kufika pwani ya Afrika Mashariki miaka 90 kabla ya bwana Vasco Da Gama. Zheng He alipewa meli mia tatu na mabaharia 27000 ili afanye safari za majini na kutengeneza mahusiano ya kidiplomasia duniani kote. Lakini bahati mbaya wafalme wa Uchina waliamini kwamba wao hawaihitaji dunia na wakaanza kuchoma manowari moto ili kuzuia safari za nje, Ulaya ikawakuta kiteknolojia, kuwapita na kuwatala.
Lakini ukweli ni kwamba Uchina imegundua mambo mengi sana hapa duniani. Gobole la kwanza lilitengenezwa Uchina mnamo karne ya 11, pia unga wa bunduki (gun-powder) iligunduliwa Uchina. Teknolojia ya kutengeneza majahazi ya kisasa kabisa kwa kipindi hicho ilikuwa Uchina. Ulaya iliiba teknolijia nyingi sana za Uchina na kuzitumia kuvuruga dunia nzima.
Sasa leo unapoona wachina wanafanya haya, siyo jambo la kushangaza kabisa. Wamekuwa hivi vizazi na vizazi, na wao ni watu wanaomini kwamba nchi yao ndiyo kitovu cha dunia (Center of the world). Mwanajiografia wa Kiitaliano, Bwana Mateo Ricci alipelekea kwa mfalme wa Uchina ramani ya dunia ambayo tunaitumia leo itokanayo na The Mercator Projection, ambayo inaonyesha Ulaya na Afrika zikiwa katikati. Mfalme wa Uchina na baraza lake walighafirika sana ikabidi jamaa abadilishe haraka sana.
Ramani za kale za Uchina zinaonyesha kwamba Uchina iko katikati ya dunia, yaani wao ndiyo The Middle-Kingdom. Haka kaugonjwa wanako mpaka leo hii na sumu yake inasambazwa na chama cha kikomunisti cha Uchina. Marekani na Ulaya wanafahamu dhahiri kwamba siku Uchina akiwashinda nguvu basi lazima atawaumiza na kulipiza waliomfanyia mnamo karne za 18 na 19: Wazungu wanaogopa mnoo.
Ukiwafuatilia wataalamu wa Ulinzi na Usalama wa Marekani na Ulaya wanasema Uchina ndiyo tishio kubwa kuwahi tokea kwa ustaarabu wa Magharibi kwa kipindi cha miaka 500. Maana kipindi hicho chote wamekuwa wakipigana wazungu kwa wazungu. Yaani Saxons-Romans/Latins-Slavs ambayo ni mataifa ya Ujerumani, Uingereza, Marekani, Urusi, Ufaransa, Uhispania, Ureno n.k ambayo yana mila na tamaduni zinazofanana. Lugha zao zina mizizi ya Kigiriki na Kilatini (Greco--Romano), dini yao ni Ukristo wa Kiyahudi (Judeo-Christian)
Pia kibaolojia wao ni watu weupe wenye macho ya kijani na bluu (Caucasians). Lakini Wachina ni ustaarabu mwingine kabisa ambao haushabihiani kabisa na chochote kile cha Ulaya, kuanzia lugha, dini, mfumo wa maisha na hata maumbile ya kibaolojia. Nchi za Magharibi zinaogopa kabisa kutokewa na kile ambacho Karne za nyuma zilinusurika kuwakuta kupitia The Mongols na Ottomans ambao walitaka kuvuruga kabisa tamaduni zao.
Bila Mungu kuingilia kati na kumuondoa Mongke Khan ambaye alikuwa anapeleka jeshi lake Vatican basi leo hii Ulaya ingekuwa ni ya tofauti sana. AU waturuki wakina Mehmed wangefanikiwa kupandisha Ulaya na kufika Urusi, basi Ulaya ingeweza kuwa ni bara la kiislamu. Sasa mambo kama haya yamewakaa sana Ulaya na kuwaogopesha.
Lakini kubwa ambalo linawatatiza ni kwamba tofauti kabisa na Afrika na Marekani, bara la Asia halikuzikubali tamaduni za Magharibi kirahisi. Ukristo upo lakini siyo kwa kiwango kama cha Afrika au Marekani Kusini, lakini pia tamaduni za wenzetu zimekuwa na nguvu kuliko ushawishi wa Magharibi. Ukienda Korea, Japan, India, Thailand na kwingineko, tamaduni zao zina nguvu sana.
NIKIRUDI KWENYE HILI LA UCHINA NA TEKNOLOJIA YA ANGA SASA:
Marekani na Urusi walianza kuwafanyia figisu Uchina tangu miaka ya 70 kwa kuzuia wachina wasitengeneza satelaiti zao na kuzirusha angani. Aliweka vikwazo vizito kwa Uchina, lakini wachina wakarusha The Dong-Fang 1 bila msaada wa nchi yoyote ile. Tena inasemekana ile satelaiti ilikuwa na uwezo mkubwa kwenye baadhi ya mambo kuliko nchi nyingine.
Miaka ya tisini wamarekani walifanya figisu sana lakini bahati mbaya Urusi ikawa imeanguka na teknolojia yake iliibwa sana na Uchina, hasa ile ya anga. Alifanikiwa sana kupiga hatua kali kiteknolojia miaka ya tisini kuliko kipindi chochote kile. Marekani chini ya George Bush Sr walikosea kuweka vipaumbele vyao kiulinzi, waliamini adui mkubwa ambaye anafaa kushughulikiwa mapema ni mataifa ya Kiislamu.
Ametumia pesa nyingi mno kupambana mashariki ya kati huku Uchina anapiga hatua kimya kimya. Ukisoma majarida ya miaka ya tisini na kuwauliza wataalamu wa Magharibi kuhusu matishio ya Usalama kipindi hicho wangekuambia ni Sadam Hussein, Mullah Omar, Slobodan Milosevic na Mohamed Rasfanjani. Ila Jiang Zemin na Hu Juntao walidhaniwa kuwa wanaongoza A Bamboo Nation ambalo litaanguka muda wowote ule.
Mwaka 1996 (Taiwan Strait Crisis) Clinton alimfurumusha Jiang Zemin kule Taiwan baada ya kupelekea manowari kubwa za kijeshi hadi Uchina akaufyata, alikuwa hana uwezo kama alionao leo. Lakini leo hii Marekani hana huo msuri wa kumtisha kabisa na akijaribu yanaweza kumkuta makubwa, A genie is out of the bottle.
Uchina anaongoza kwenye 5G na 6G mpaka sasa, na kama akifanikiwa kupeleka Kituo chake cha anga basi tegemea kituo hicho kutumika kama sehemu ya biashara ya usafiri wa anga, maana hiki kilichopo sasa wanataka kukifanyia marekebisho makubwa sana ambayo yatahitaji gharama. Kituo cha Uchina kitakuwa na zaidi ya tani 66 na kikubwa sana kiasi ambacho kinaweza kutumiwa hadi na wanasayansi kutoka NASA.
Space-Programme ya Uchina ikiwa Commercialised basi utasikia mataifa mengi ambayo hata hayana uwezo mkubwa yanajiunga nayo. Hili litapunguza Monopoly ambayo Marekani na Urusi wamekuwa nayo kwa miaka mingi. Uchina ana pesa na teknolojia ya kuwezesha haya kufanyika kwa haraka, na Marekani analifahamu hilo......
Walipofika Uchina leo, Marekani ameshachelewa sana cha msingi ni kujenga ushirikiano kwenye mambo muhimu na kubakiza ushindani kwingine. Ambaye anatakiwa kulaumiwa kwa Uchina ilipofika hapa ni Richard Nixon na Henry Kissinger.......
AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU............
Bwana mkubwa, ni kutokana na mazingira yanayonizunguka. Kuna mambo yamesajiliwa na mazingira kuwa ni ya umri au rika fulani. Huwa mgawanyo ndiyo unaokuweka katika kundi la utoto, ujana au uzee.Wewe umejijuaje kwamba unayozungumza ni makunwa zaid ya umri wako
Yes, this is a civilization is a home to great thinkers like Confucius, Sun-Tzu and Lao-Tzu.
When most of Europe was still in darkness, these people were already writing philosophy.
Be grateful to these people for inventing paper, tea-production and noodles that we all love to eat
One would insult the Chinese Civilization by looking at the glimpse of history and fail to see the entire penumbras of history. How China as a civilization has thrived for over 5000 years, gifting the worlds with great inventions and innovations that human family share today. They have been here long enough and have outlived Alexander of Macedon, Cyrus the Great, Julius Caesar, Genghis-Khan, Napoleon and Adolf Hitler.
If you think the Chinese Civilization started with Mao-Zedong, Chiang-Kai Shek and Sun-Yat Sen, then you are on the wrong side of history. Also if you think that this is the greatest moment in history then you are deeply mistaken: China was more than once the richest empire on the Planet. I mean it was a center of global commerce and innovation.
The Han-Dynasty at its peak accounted for almost 26% global GDP, while Roman Empire accounted about 25% to 30% at her peak. And some you folks swallowed a diabolical Western narrative that Rome ruled the entire world and shaped history.
The Tang-Dynasty at its peak accounted for almost 58% global GDP. Remember during this time Europe was in dark ages and rotting under the dogmas of the Catholic Church. Much of the world was controlled by the Islamic Caliphate (The Arab Empire) which only accounted about 7% of world GDP.
The Song-Dynasty, oooh my gosh! At its peak accounted for almost 80% of global GDP. This is a record that no nation on earth has ever or will ever come close to break. This means that nothing could ever be done either in Europe, Arab World, Asia or Africa without paying due regard to the GREAT SILK-ROAD.
The Qing-Dynasty which out connivance and Western greed was incinerated to the ground at its peak accounted for almost 35% of world GDP. This was a time when the British Empire had a taste of the Industrial Revolution, a heyday of maritime discovery and circumnavigation of the earth: Yet, with all her discoveries and enterprise, the British Empire was a behemoth not even close to challenge the Asian Dragon.
Hizi mbwembwe za Wamarekani na Wazungu ni suala la muda tu: Hili hata wao wanalifahamu vizuri na hata NABII YOHANA, mtume ambaye alipendwa na Bwana YESU sana amealiandika vizuri kwenye kitabu cha Ufunuo 16. Sisi tuendelee kulumbana hapa, lakini historia ndiyo hiyo mzee, Uchina limekuwa taifa tajiri duniani zaidi ya mara nne kwa vipindi tofauti-tofauti.
Liliporomoka tu na kutawaliwa kwa kipindi cha miaka 100 ya karne ya 19, ambacho wao hukiita "A Period of national humiliation". Mwaka 1949 Mao-Zedong aliapa kwamba hakitarudia tena, wazungu kama wakina Harry Truman na Winston Churchill walipuuza na kusema "China is a bamboo nation", lakini leo hii ndiyo taifa la pili kwa Uchumi duniani. Linawanyima usingizi na kuwapa kihoro. Hivi unadhani taifa kama hili kuna kulizuia lisirudi juu ?????
Hahahahahaahahahaa............................
![]()
When Native Americans Were Slaughtered in the Name of ‘Civilization’ | HISTORY
By the close of the Indian Wars in the late 19th century, fewer than 238,000 Indigenous people remainedwww.history.com
Rocket ya Mchina imevamia ibada ya watu🤣🤣Oohooo.. Mambo yamekemgeuka huko
Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani
Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...www.jamiiforums.com
The subject is how Civilized Countries Behave, China and America are relevant epithets of civilized and uncivilized.Did I say anything about United States of America!? We are talking about China so please stay on the relevant subject.
The subject is how Civilized Countries behave, China and America are relevant epithets of civilized and uncivilized.
One does not attribute or attach a negative quality to a thing without impliedly and ontically setting a positive moral standard. But for the sake of the argument care to mention any civilized nation on the planet that can serve as a good moral equivalent to China ???Did I say anything about America being a civilized country? 😳😳😳
One does not attribute or attach a negative quality to a thing without impliedly and ontically setting a positive moral standard. But for the sake of the argument care to mention any civilized nation on the planet that can serve as a good moral equivalent to China ???
Hahahahahaha, sawa kaka BAK
Hata mimi wa madongo kuinama inaniuma maana kila kitu tunatolewa mfano China, mara oh china kuna chama kimoja ila wana maendeleo mara china hakuna whatsapp na twitter, wala media huru ila wana maendeleo. itafika kipindi tutaambiwa tufute ukristo na uislam kisa China hawana dini ila wameendelea.Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari jana China imeshatuma kipande cha kwanza cha space station capsule. Zoezi hili lingeanza mapema lakini Janga la Corona limeichelewesha. China inataka kujenga space station yao ambayo itakuwa tofauti na ile international space station.
Mafanikio haya makubwa ya China katika anga za mbali inawaumiza nakuwauma sana Marekani hawana cha kufanya. Hata kwenye vyombo vyao vya habari kimya.
Elon musk na NASA kelele mingii lakini mwanaume China anafanya mambo ya uhakika kimya kimya.
Sasa hivi wanaombea tu chombo cha China kisifike salama sayari ya Mars.
Mungu ibariki China katika harakati zake za kuchana mbuga kwenye technology
Hii roketi iliyorushwa na China imerushwa kwa mtindo wa kizamani wa expendable launch system. Madhara yake ndiyo kama hayo kwamba haijulikani itaangukia wapi.Ni masatellite na maroket ya china tu ndiyo yamekuwa yaanguka duniani tangu miaka 15 iliyopita. Wanafanya mambo kwa papara sana ili waonekane zaidi kumbe bado. Kuna satellite lilianguka Atlantiki nusura liangukie New York, kuna Satellite lilikuwa karibu lianguke kwao wakaamua kulilipuwa wenyewe huko huko angani na sasa hivi kuna roketi litaanguka na hakuna anayejua litaangukia wapi. Mwaka 1992 walipewa contract ya kwanza ya kurusha satellite la cellphone za AT&T, wakasababisha hasara kubwa kwa vile walizidi ile escape velocity ya satellite kwenye orbit na satellite lile likapotelea gizani huko angani wakalazimika kuilipa AT&T mabilioni ya pesa kutokana na hasara ile.
Bahati nzuri mkuu, Mungu mkubwa wale wote walio kuwa wanaeneza uongo mkubwa kuhusu bidhaa za kampuni ya Huawei specifically teknolojia ya 5G, wabaya wa Huawei wote wameondolewa madarakani huko Marekani unceremonously hawakuamini kikicho wasibu - yuko wapi the most rabid hater of Chinese - one Mike Pompeo bila ya kumsahau Donald Trump na genge lake.Wanakubali tu hivyo hivyo ila inawauma sana. Na ikitokea Mwafrika ama muajemi/iran kwenda Mars watajinyonga kabisa. Ukiona jinsi Marekani walivyoihujumu Huawei wazi kabisa mabeberu wana wivu mbaya sana hasa Marekani ameshindwa kuficha maumivu yake hawa wengine Uingereza ufaransa n. K wanaumia kimyakimya. China kawaweka pabaya sana
Kitawarudia wao na kuwamaliza - walifikiri watawapukutisha Wachina lakini kinyume chake Wamerikani ndio wakawa affected/infected zaidi - walisahua kwamba what goes around comes around. Muda si mrefu kuanzia sasa utasikia US inamuomba Ti-Xing-Ping awapatie chanjo zinazo zalishwa na SinoPharm baada ya chanjo za Makampuni ya Bill Gates (Oxford-AstraZeneca) kuonekana ni usanii mtupu.Waamerika wataunda kirusi kingine cha mafua na safari hii watakitupa Beijing sio Wuhan.
wewe ni mchina?Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari jana China imeshatuma kipande cha kwanza cha space station capsule. Zoezi hili lingeanza mapema lakini Janga la Corona limeichelewesha. China inataka kujenga space station yao ambayo itakuwa tofauti na ile international space station.
Mafanikio haya makubwa ya China katika anga za mbali inawaumiza nakuwauma sana Marekani hawana cha kufanya. Hata kwenye vyombo vyao vya habari kimya.
Elon musk na NASA kelele mingii lakini mwanaume China anafanya mambo ya uhakika kimya kimya.
Sasa hivi wanaombea tu chombo cha China kisifike salama sayari ya Mars.
Mungu ibariki China katika harakati zake za kuchana mbuga kwenye technology
Viwanda vingapi Marekani imewahi kujenga Tanzania na kuongeza ajira kwa vijana, je, ni infrastrure ngapi Amerika iliwahi kiijengeaTanzania (barabara, reli na madaraja), vyuo vya ufundi, Mahospitali, mawasiliano (Voice na data),Mechanised Agriculture and what have you!! Nothing to talk about zaidi ya propaganda zao za kijinga za kuwatuma viongozi wao kuja barani Afrika kuzuga Viongozi wa kiafrika kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika.Ukiwa na chuki na Marekani, hata km Russia atatengeneza gari utasema linawatesa Wamerekani.
China alipokuwa anawatesa waislamu na kuwatenga mlikuja juu ila leo amekuwa mzuri. Na hayo yote ni kupunguza machungu.
Naona sasa hivi meweka kambi kwa Iran, Russia na China ili kupunguza machungu.
Unajua kuwa nchi yako inapokea pesa za misaada kutoka Marekani? Unajua kuwa ARV zinatolewa kwa hisani ya Marekani?
Sishabikii nchi yoyote ila ni kiri tu hakuna taifa lenye akili duniani km Marekani.
Makao makuu ya mashirika makubwa makubwa yote duniani yapo Marekani. Kingine ambacho nchi zingine hazijui ni kwamba Marekani anatoa misaada sana.