China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

Mwenye dini anataifisha Mali ya mtu na kuuwa watu wasio hatia? Kuwafunga jela bila kuwafikisha mahakamani? Hao wote walikuwa hawana dini ila wakijipakazia kuwa wana dini , wasingaliwachukuwa wasio dini makomunisti kwenye serikali
Ndio, viongozi wanadini huwa wanafanya maovu makubwa zaidi ya hayo.
 
Aisee
 
Hawezi kuishi bila siasa, lakini sio lazima akae nayo benet
Hapo Sasa ndio kwenye changamoto na hawezi kukaa nayo mbali cause siasa ni Somo kabisa linalo tolewa Kwa Nia na madhumuni ya kuweza ku- govern watu so Kwa muktadha huo hata kama Mimi na wewe tutajiweka nayo kando Kwa kuwa tunaijua hatari yake ni lazima Kuna watu watapigwa brainwashe na wataifuata tu siasa

Binaadamu tuna ishi Kwa kilishwa material kichwani haijalishi ni material sahihi au ni fake , Always tunaishi hivyo
 
😁😁😁 Tena wazungu huo upumbavu ndio hawataki kusikia kabisa
 
😄
 
😁😁
 
Mpira nao ndio yale yale tu, yaani wanaume wenzio wanakimbiza plastic lilijazwa upepo.

Ikitokea wamezidiwa, lile plastic likaingia katikati ya nguzo mbili, wewe shabiki ambae hata hujahusika siku hiyo hulali, roho inauma.

Why???
Emotions. Ndo dhana pekee tunayoishi kwa sababu. Wewe hapo unapambana kwa ajili ujihisi amani, safety, una mke, watoto kwanini? Utambulike, uonekane uhisi kupendwa
 
Basi hizo jamii ndo zina tatizo,wasilaumu dini. Iran ni jamhuri ya kiislam lakini wamewekeza kwenye sayansi na wanawake wao wanatengeneza hadi mifumo ya ulinzi wa anga inatungua mandenge ya kimarekani na dini hawaachi. Israel wanajivunia Imani yao huku wakiwa wameendelea kwenye teknolojia kwa viwango vya juu. Sisi tuna matatizo yetu binafsi,tuache kusingizia dini.
 
Dini ni upuuzi hasa hii ya kiislam.
 
Yes mkuu,ingawa si mila zote. Kuna mila mbovu kama kuua watoto mapacha na kunyanyasa wanawake ingawa mila njema pia zipo eg heshima na kusaidiana wakati wa shida na raha
Watoto mapacha walikuwa hawauwawi ila albino na walemavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…