China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.

USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.

Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.

Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake

China hawana tofauti yeyote na Mandonga

God Bless USA.
Putin yupo hapa jukwani?
 
China angekuwa sio mnafki angemsapot waziwazi mrusi kule Ukraine. Mbona UK, France, German n.k zinaungana na US kumsapot Ukraine.

Kwanini China asijioneshe kumsapot Russia kule Ukraine? Jibu ni moja tu, China sivyo kama tunavyoidhania.

Tukisemaga kuwa uchumi wa China umeshikwa na Westerns muwe mnatuelewa. China ajira zake nyingi, ushuru, kodi n.k anapata kutokana na uwekezaji wa Westerns.

Hapo usizungumze export ya china kwenda ulaya na America, ni kufuru. China anapiga pesa ndefu mno kupitia mataifa ya magharibi.

Kumwambia leo avimbe mbele yao ni kutomtakia mema Mchina.
Hakuna aliye muambia Yeye ndiye aliyejifanya kuvimba

Palikuwa na umuhimu upi wa kuvimba wakati Hana nguvu !?

China jinga kweli [emoji38]
 
Taiwan kwa China ni sawa na Zanzibar kwa Tanzania. Ni donda sugu ambalo maadui zako wakilijua wanalitonesha ili kukupa mateso. Ndiyo Mmarekani anavyomfanyie Mchina. Siku Tanzania ikikorofishana na Marekani, utaona Marekani inaanza kutambua mamlaka kamili ya Zanzibar kwa sababu inajua ni donda sugu la Tanzania.
Hizo ni case tofauti maana Taiwan yajitegemea kila kitu, kasoro haitambuliki kama nchi huru
Zanzibar inaitegemea bara kila kitu hadi Rais anachaguliwa na Bara
 
Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.

USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.

Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.

Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake

China hawana tofauti yeyote na Mandonga

God Bless USA.

China ni ma houseboy tu nilisema hapa haya zile kelele zooote za wachina wa kuchoma mahindi zi waap dege limetua under control
Of us army
 
Hizo ni case tofauti maana Taiwan yajitegemea kila kitu, kasoro haitambuliki kama nchi huru
Zanzibar inaitegemea bara kila kitu hadi Rais anachaguliwa na Bara

Zanzibar kuitegemea bara kila kitu ni mkakati wa Nyerere tuu. Kabla yake Zanzibar ilikuwa nchi kama nchi nyingine.
 
ilikuwa ngumu sana kwa china kufanya kitu chochote, nimeona huyo mama alikuwa kwenye ndege na secretary of defence, so hiyo safari nenda rudi iko accompanied with a full american military mighty.
 
Ulitegemea China waanzishe vita kwa sababu tu spika wa Marekani kaingia Taiwan?
Vita ya 🇺🇸na China🇨🇳 haiwezi kutokea kirahisi hivyo. Ni kama ilivyo kwa Russia vs Marekani. Haya ni mataifa makubwa kupigana kutaleta hasara kubwa duniani kote
wao wanafikiri vita ya usa vs china,ni sawa na congo vs M23,akili ndogo sana.
 
Ukisoma mitazamo ya wabongo kuhusu siasa za nje unabaki kucheka tu. Unaona kabisa kuna ushabiki na utoto mwingi sana. Ushauri wangu kwa kijana mwenye shauku ya kujua siasaza kimataifa ni

1. Soma historia ya jambo fulani na kulielewa vizuri na kama kuna mikataba iliyowai kusainiwa ipitie japo kwa ufupi.

2. Balance vyanzo vyako vya taarifa unapofuatilia habari. Mfano kuhusu issue ya China na Us angalia wachambuz wa US wanasemaje, wa China ,wa Taiwan then wale walio neutral ili kujua nani yupo sahihi.

3. Ukitaka kuwa mchambuz mzuri na sio mshabiki. Usiwe umefungamana na upande wowote na zungumzia pande mbili za shilingi positively and negatively with supporting facts alafu mwisho toa opinion yako sasa.

Ni ushauri tu kwa vijana mnaopenda kufuatilia siasa za nje.

Tuanze na kusoma kusoma kusoma kusoma kwanza.

Find facts then make your opinion from facts.
 
Kwa hiyo Kuna mtu anafikiri Vita inaweza kutokea kwa huyu Nancy kufika hapo Taiwan!!?
Ndugu yangu ukijishughulisha na Akili za wabongo utapasuka kichwa. Wengi ni mazwazwa. Yaani kazi yao ni KUONGEA KWA NIABA YA CHINA, UKRAINE, RUSSIA NA USA.

Yaani wakisikia Russia anasema NATO asilete mchezo utasikia zwazwa la Bongo humu linavyotengeneza story kuwa Putin kasema anarusha nyuklia California
 
Back
Top Bottom