Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ungekuwa ndio China unadhani ungekubali ku risk mambo yako kwa siasa za kipuuzi ?China angekuwa sio mnafki angemsapot waziwazi mrusi kule Ukraine. Mbona UK, France, German n.k zinaungana na US kumsapot Ukraine.
Kwanini China asijioneshe kumsapot Russia kule Ukraine? Jibu ni moja tu, China sivyo kama tunavyoidhania.
Tukisemaga kuwa uchumi wa China umeshikwa na Westerns muwe mnatuelewa. China ajira zake nyingi, ushuru, kodi n.k anapata kutokana na uwekezaji wa Westerns.
Hapo usizungumze export ya china kwenda ulaya na America, ni kufuru. China anapiga pesa ndefu mno kupitia mataifa ya magharibi.
Kumwambia leo avimbe mbele yao ni kutomtakia mema Mchina.
Usiingilie mazungumzo ya wanaume, hebu niletee chai na kashata mke wangu
Kwa hiyo ushenzi anaoufanya America Kwako ni kipimo Cha nani mbabe[emoji848]
Huyo bibi alichana hotuba ya rais hadharani na rais wake Trump akanywea.Kwani sie africa hatuna mabibi wa ages hizo? Mbona hatuna wakipambana.....ile ni damu ya marekani pure. Imagine ni mwanamke wala sio me
wewe ndio umetoa mpya hatari,leo hii tena umeshawachonganisha china na russia wapigane,hii kali.kwanza china hana sababu ya kusapoti unyakuzi wa ardhi ya ukraine unaofanywa na urusi maana hata china nae ni mhanga hasa ukizingatia ile siberia anayolinga nayo mrusi leo alinyakua kutoka china mwaka 1858 kupitia mkataba wa kilaghai na kibabe vilevile km anavyotaka kuforce peace treaty na ukraine kupitia kwa terms za ajabu, hata huku kujiimarisha kijeshi anakofanya mrusi kwa kutumia kisingizio cha marekani ni kwajili ya kujilinda zaidi against china ambayo still inahisi ilionewa sana kuchukuliwa ardhi yake na huenda ikawa na mpango wa kuirejesha km inavyotaka taiwan, senkaku,south china sea au vita vya mipaka ilizopigana na vietnam na india
Watoto wa mnyaazWavaa makobazi ndo nini?
Wanaombeleza sana leo.....timu yao imepoteza pambano uwanja wa nyumbani
Russia sio China mjomba oohooo,,,Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.
USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.
Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.
Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake
China hawana tofauti yeyote na Mandonga
God Bless USA.
Unapenda Ligi na huna njumu!!Usiingilie mazungumzo ya wanaume, hebu niletee chai na kashata mke wangu
Pentagon Ilikuwa Active Muda Wote Nancy Akiwa Angani, ArdhiniUlitakaje labda bwana mdogo kwamba China atungue ndege ya kibibi kizee halafu aingie kwenye mgogoro na superpower wa kuweka vikwazo Duniani
Hakuna aliye muambia Yeye ndiye aliyejifanya kuvimba
Palikuwa na umuhimu upi wa kuvimba wakati Hana nguvu !?
China jinga kweli [emoji38]