China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

Una matatizo makubwa sana yanayo kusumbua na sidhani kama unafahamu ni matatizo gani yana kusumbua
 
Wamarekani wamesha simulate hadi nyumba zitakazo jengwa Mars yaan 3D house zitakavyojengwa sayari Mars

Ingelikuwa ndio mchina kasimamia na kuanzisha project kama hii ungesema umejenga kabisa kwa jinsi CCP wanavyopenda propaganda za uongo
Punguza unnecessary things sehemu zisizo hitajika

Hapa hakuna mashindano ya marekani na China wala India na China
 
sasa hilo liko kwa viongozi na ni kitu gani wamekipa kipa umbele ....na sio lazima duniani nchi zote tufanane ....yote kwa yote hiyo speed kubwa mnoo una wahi wapi hilo dude likila mzinga kwa speed hiyo haponi hata mbu humo ndani
Ok
 
We jamaa ebu acha uongo, kilichotestiwa ni model na sio full sized train,

Full sized train iliyotestiwa sio ya 1000km/h Bali ni iyo ya 600+km/h na pia sio maglev kama unavyotuaminisha

Punguza propaganda asee dah,
Unapenda sana mashindano yasiyo na tija sijui hata yana kufaidisha nini?!
 
Weka video wacha malalamiko, iliyooneshwa ni model ndogo sana ambayo haifikii hata ukubwa wa a small child toy car lakini tayari ww umeshatuletea propaganda

That's not a full sized maglev train, prove me wrong
Umesoma habari nzima au umekurupuka kuja kubishana tu
 
Nipandishe video kwa matakwa yako binafsi ya mashindano ya kimaneno hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo kama uona napotosha Watanzania fungua mada yako utakayo elezea ukweli

Dunia ya sasa ni ya utandawazi nipotoshe ili nipate faida gani?!
 
Huwezi kupandisha video kwasababu hakuna kitu kama hicho ulichokisema

There is no a full sized maglev 1000km/h tested train Bali kilichofanyika ni model ndogo sana ndani ya a vacuumed tube.

Wacha kutudanyanga we jamaa....
Ok
 
Mbona umeshinda toka mda tatizo nini sasa ?! Kwa nini unateseka na kuumia?!
 
Hahaha daah,

Nakerwa na propaganda zako
Punguza chuki na wivu wa kijinga maana hivi vyote vinamtesa anaye viifadhi sio unaye mchukia wala kumuonesha wivu wa kijinga

Usipo zingatia huo ushauri kila jambo kwako litaonekana kuwa ni kero
 
Misri to SA kama masaa 7. Waaafrika wajiunge nchi zote ijengwe kutoka kaskazini hadi kusini halafu kuwe na dirvesion ya East Africa na West Africa. Nchi zitaendelea haraka sana.
Waafrika gani. Hawa ambao bado kuna vijiji hamna vyoo? Maendeleo sio suala la kuigana, ni kufanya priorities kwa kuzingatia faida na gharama na ulazima kwa wakati huo.
China wakati waanza kupambana kiuchumi miaka ya 1950s hawakujenga viwanda vya ndege, walianza na kilimo tena wakajichanganya wakakosea wakapigwa baa la njaa zaidi ya watu milioni 20 wakafa.

Kutengeneza matoroli tu hatuwezi sembuse kujenga magrev.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…