China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio mnapo feli kuugawa ubaguzi katika makundi tofauti kwahio ubaguzi wawazungu upitishwe kama unakubalika ?!

Sent using My COVID-19
Kuna utofauti kumchukia mtu direct na inderect, zote ni chuki lakin Zina tofautiana
 
Unaongea vitu usivyovijua ushawishi wa marekani kwenye uchumi wa dunia ni mkubwa hata akijitoa kuchangia UN, na tutakao suffer ni nchi maskini kwa sababu tunategemea sana UN organs tofauti na developed countries
 
US Haininyimi Amani Maana Najua Usupa pawa hauja anzia kwake nawala hautamalizia kwake nimbio tu zavijiti kwan watu walidhania kama hitler atakuja kua under dog

Uzuri wamuda hua haudanganyi.

Sent using My COVID-19
Haikunyimi Aman na umesema ikifall utapata Aman hata ukiwa kaburin, mean current huna amani
 
Kwan wakijitoa hawawez Rudi ndo maana nilikuambia we ni mshabiki, maamuzi yaliyofanywa ni uamuz wa Trump akija rais mwingine na utawala wake anaweza akarudisha contribution kwa sababu hawajafungiwa milango
 
Unaongea vitu usivyovijua ushawishi wa marekani kwenye uchumi wa dunia ni mkubwa hata akijitoa kuchangia UN, na tutakao suffer ni nchi maskini kwa sababu tunategemea sana UN organs tofauti na developed countries
Sawa mjuaji,wasalimie hapo Tinde.
 
Jamaa haelewi chochote yupo tuu anavuta hewa ya bure nakuichosha miguu yake kubeba kichwa nazi
Unadhani IMF wanajua economic outlook ya North Korea hawajui, mpaka uwape ruhusa tofauti na hapo wanakua hawajui kitu usiongelee mambo usiyoyajua
 
Unadhani IMF wanajua economic outlook ya North Korea hawajui, mpaka uwape ruhusa tofauti na hapo wanakua hawajui kitu usiongelee mambo usiyoyajua
Sasa una muuliza nani au hujui kufuatilia comment dogo?
Someni sana hata kama upo likizo
 
Sasa una muuliza nani au hujui kufuatilia comment dogo?
Someni sana hata kama upo likizo
Nimekutoa matongotongo ulikua hujui kwamba Kuna member countries na ambao sio member countries

Na Kwa kukusaidia usimjudge mtu usie mjua huku tuelimishane, tubishane ndo Raha ya jf
 
Kuchangia mashirika ya kimataifa ni comittment ambayo ni optional sio lazima. Unaahidi then unatekeleza, ukishindwa unaacha.

Mashirika mengi tuseme yote yalianzishwa kwaajili ya welfare ya dunia baada ya WW2 , sio welfare ya US, kwahiyo ni jukumu la dunia kkiwemo China

Kama China na wengineo wameshapevuka hawana budi kubeba huo mzigo, kitendo cha kuishia kulalamika tu kinaashiria zile sifa tunazompa humu ni za "kumpamba" tu
 
Ahsante sana, eti kujitoa u s kuchangia ndo point mtu anakuambia u.s ameanza kufulia easy like that, na ndo maana nilimwambia yeye ni mshabiki
 
Nimekutoa matongotongo ulikua hujui kwamba Kuna member countries na ambao sio member countries

Na Kwa kukusaidia usimjudge mtu usie mjua huku tuelimishane, tubishane ndo Raha ya jf
Tafuta chanzo cha Mimi Ku reply ile comment, ndio uanze kujitoa hayo matongotongo sipendi kubishana Dada angu hasa jambo lisilonihusu kama hili

Au nilikuuliza chochote khs hayo ma IMF yako?
 
Tafuta chanzo cha Mimi Ku reply ile comment, ndio uanze kujitoa hayo matongotongo sipendi kubishana Dada angu hasa jambo lisilonihusu kama hili

Au nilikuuliza chochote khs hayo ma IMF yako?
Mambo ya dada yametoka wapi umepanic tayari. Huku ili usijibiwe usicomment chochote, uki-comment either mtu alike, areport, au areply unatakiwa ujiandae na hivyo vitu vitatu ndo maana ya forums
 
Naona watu wana comment kiushabiki na wanasahau uhalisia kwamba wa kwanza kuathirika ni sisi huku nchi zisizo "jielewa" hasa viongozi wetu.

Nikifikiria magonjwa yenye udhamini wa taifa la USA, TB, HIV na malaria sioni hawa ndugu zetu watapata wapi msaada wa madawa haya kwa urahisi na wakati sahihi.

Nikikumbuka mwaka jana nina ndugu namuuguza ana TB kuna kipindi dawa ziliadimika dozi ikawa haipatikani kwa ukamilifu hii ni baada ya mdhamini kumaliza muda wake wa kutoa huduma.

Kiukweli kama haujui changamoto za haya magonjwa ya muda mrefu na upatikanaji wa dawa ukojekwa nchi zetu hizi utajua ni nini kinafata kwa ndugu zetu.

Serikali pekee sidhani kama wataweza kikombe hiki ukizingatia janga la corona ndio kwanza linaanza kuchanganya.

Sioni mchina kama ataweza kuingiza hizo $m400 WHO ili kuendeleza huu ufadhili, tuache masihara baniani mbaya ila kiatu chake dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…