Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

madikteta wanateteaana dhidi ya demokrasia, china waache kumtetea dikteta jiwe
 
Nikikumbuka siku mwenyekiti mao anafariki huwa nasikitika sana,tulilia sana kwa kweli..china daima mbele,mapinduzi ya kisoshalisti lazima yatadumu milele...👱👱🙇🙇🚶🚶🚶🚵💪💪✊✊
 
Hii ni dalili mbaya!
 
Yaani kiinchi cha kidkteta kinaionya US? [emoji3]
 
Ukiona hiv jua kuna maslai yao wanayatetea. Kila mmoja anajaribu kulinda maslai yake

yule mwanamke amsterdam kwan unadhan tulikua hatujui wanataka nn kwenye hii nchi, equilibrium ishabalance
 
Reactions: mmh

wachina wenyewe wanajali rasilimali zao za shaba ya Zambia hawajali chochote. Hivi China wanasaidia nini Marekani wametupa $650 ya Afya je China wametupa nini?
 
Hii ni dalili mbaya!
Waache tu CCM wafurahie. Ninavyomjua Marekani, atatunisha msuli kweli mwaka huu na akiwa na wafadhili wakuu wa Tanzania Ujerumami, Uingereza, Sweden , Canada, Norway na Denmark bila kusahau Umoja wa Ulaya na Ireland sioni Magufuli ataponea wapi akiharibu huu uchaguzi!
 
Una ushahidi?
Wewe hujui?? Mauaji ya Tembo waliokuwa wanauliwa kwenye mbuga za Tanzania hasa Selous soko kuu lilikuwa China!!

Hata Raisi wa China alivyokuja Tanzania mwaka 2014 ndege yake ilibeba meno ya Tembo na hili lilitangazwa kabisa mpaka na International Medias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…