Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Hahahahaha safi saana kumbe china inaweza kutumia makombora yake ya bara hadi bara kuingamiza USA kisa Tanzania

ama kweli Tz tunapendwa kwerikweri
 
Hawa maadui watuache kwanza. Sisi tunaamua wenyewe. Tangu uhuru tunaamua wenyewe.
Na sasa tunaamu wenyewe.
 
Hawana akili si ndo wameleta na korona ndunian mbwa hawa ivi wachina wanajielewa
 
Hahahahaha safi saana kumbe china iweza kutumia makombora yake ya bara hadi bara kuingamiza USA kisa Tanzania

ama kweli Tz tunapendwa kwerikweri

unaongea nn wewe, ww1 ilikua na prince mmoja tu anaitwa Archduke . dunia nzima ikapigana na waafrika tukaitwa kuongeza nguvu wewe unashangaa saaahv china na russia wanasubiri USA wafanye kosa dogo tu waachie missles,

- china na russia wanaitafuta marekani kwa mda mrefu sana, back then nchi ndogo tu cuba ilisababisha russia wapeleke submarines cuba, we jamaa unadhan war inahitaji basi watu wengi, watu wachache tu
- tunisia kuna mtu mmoja tu alifanyiwa fujo na mgambo, nchi nzima ikareact
 
China wananufaika na Tanzania washenzi tu hao kenge tunataka mabadiliko tumeamua 28/10
 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Lkn wao ndio uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi.
China ndie mnufaika wa madikteta ya afrika ataacha vipi kupiga kelele kwenye shamba lake.
Uzuri China amiliki the Hague
 
USA ni wanafiki na wapumbavu tu!

Balozi wa Uingereza nchini Marekani Bwana Kim Darroch alilazimika kujiuzulu last year baada ya email yake ikikosoa utawala wa Trump kuvuja.

Fuatilia povu alilotoa Trump hadi jamaa akaachia ngazi,ni matusi na kashfa hadi kwa Theresa May.

Wao wakali kweli kwa mabalozi kuzungumzia affairs zao ila wao shobo kibao kwa yasiyowahusu.
 
Ficha ujinga basi,nimesoma electrical engineering lakini najua fika kuwa prince=archduke, na huyo wa Serbia alikuwa ni archduke Ferdinand
Hapo Serbia kulikuwa na mambo mengi na hali ya taharuki,soma vitabu vya hiyo WW1 nasio nyambari nyangwine halafu pitia na documents za Rwanda Genocide ndio uone nini ni nin sio ropo ropo
 
Watuletee tu silaha[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wote China na USA hawajui tuu kwamba Tanzania ya sasa hatupangiwi?
Wamuulize John Pombe Magufuli awaambie😁😁😁😁😁
 
Hujui kuwa China ndiyo soko kubwa la pembe za ndovu, magogo, madini, gesi na nyingine nyingi? Pia makampuni yao yanaongoza kwa kuwadhulumu haki zao wafanyakazi wa kitanzania?
Narudia tena. Una ushahidi?
 
VICHINA TOKA LINI VIKATUNDISHA DEMOKRASIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…