Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

China watawaletea ARV.
 
Kandarasi karibu zote za ujenzi kwa sasa wanapewa makampuni ya China.

Kuanguka kwa ccm ni kutisho kwa maslahi ya China Tanzania.
 

China waache na watuondolee ujinga na sera zao za Kikomunisti hapa!!!! Tanzania hatuchaguliwi rafiki au adui lakini pia kama nchi rafiki inaona kuna viashiria vya Uchaguzi usio Uhuru na Haki Wana Uhuru wa kutoa maoni yao. China hana ubavu wa kumzuia Marekani kutoa maoni na mtazamo wake.......Wachina ni Makomunisti wanaotawala Kidikteta!!!!Watuache.
 
Toka Jpm awakatae walipokuja na sera za kutudhoofisha kwa kile kinachoitwa Covid-19, Mabeberu hawalali, Ni wakati ambao Jpm ameshawaonesha kwamba watanzania tunaweza kujitegemea kifikra.
 
Wote China na USA hawajui tuu kwamba Tanzania ya sasa hatupangiwi?
Wamuulize John Pombe Magufuli awaambie😁😁😁😁😁
Kwani wanajipendekeza ?
Jiwe aliomba misaada kwa beberu ili amshinde Lissu beberu likatumia formula kuwa "if you can't fight with them join with them"
Jiwe akakimbilia kwa vijogoo vya kisasa vya China ,sasa jogoo ndio amkoromee beberu?
Yetu macho
mama D
 
China ni Jamhuri ya Washenzi tu. Watu wao kutwa wanaua tembo wetu na kuchoma mahindi kariakoo waende huko vimacho kuvimba. Pumbavu zao
Hawana aibu. Nikikumbuka walivyotaka kutuuzia barakoa hata baada ya vipimio vyao kuonyesha corona hadi kwenye mapapai na mbuzi
Ila Magufuli babalao🤣🤣🤣
 
View attachment 1607262

kuna mtu nlimwambia jana hili swala, and limetoka,
Uchaguzi 2020 - Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

link hii apa, your still a kid dogo kwenye izi taarifa
Huu ni ushabiki tu kama wa mpira
yaani China ina nguvu kuliko America??

Haya mabomu ya kuivuruga dunia nchi kibao wanayo lakini kuna vikwazo vya kuyatumia na pia wanayamiliki ili kuheshimiana tu leo ni ngumu sana nchi kuingia vitani watu wamestaarabika huwa wanaangalia zaidi madhara yatakayo patikana
Watu wamestaarabika Nyerere na Iddy wangekuwepo leo na ugomvi wao ungetokea Sasa hivi hizi nchi zisingeingia vitani

Lakini hizo unazosikia ni siasa tu na hawa watu wanatumia akili na mmoja kati yao anaenda kuwin namaanisha China au America yani kama Magufuli akishinda wachina watalipwa fadhila kwamba wametetea maslahi
Na Lisu vilevile kama America wako upande wake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umesema utopolo kama hujui historia vizur kaa kimya
 
Ngoma droo
 
Reactions: mmh
Mi nadhani wachina na wenyewe wanaogopa Lissu kuchukua nchi, maana wanafahamu kabisa Lissu hapendi unyonywaji na unyanyasaji wa wananchi. Na kwa wale tuliofanya kazi na wachina na wazungu tunajua ni nani ana utu na auheni kwenye kujali utu na haki kati ya mzungu na mchina. Istoshe tofauti kati ya CCM chini ya JPM na Chinese Comunist Party ya PRC chini ya Xi Jinping ni ndogo mno. Wote wanyanyasaji wa demokrasia tu.hapa Nyani anamtetea ngedere.
 
Umelisahau Bomu lao la korona? Vita ni akili sio maguvu
 
Huu ndio uchaguzi wenye press conference nyingi toka Beijing hadi sun Fransisco kote press conference juu ya JMT election.
Lengo kuu ni kuepusha uvunjifu wa amani,bila hivyo si yatajirudia ya serikali za mitaa, watawala wanaona vitu viwili kunyimwa misaada na kupelekwa the Hague.Bila hivyo wangekuwa wakitushughulikia haswaa,we si unaona mtoto wa dada amesema watamdunga sindano badala ya risasi. Maana sisi bado hatuna uwezo wa kujisimamia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…