Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Hao wote lengo ni kuigombania Tanzania.Mbaya zaidi China hakuna uchaguzi huru na wa haki.Hivi kama inatokea watanzania wakauwana kwa sababu ya uchaguzi nchi za nje zisiingilie kisa ni mambo ya ndani,?
 
Ndio China ina nguvu kuliko marekani. Angalia nchi zinazoidai marekani ni nchi gani inaongoza kwa kudai mpunga mrefu. Njoo pima vigezo vyote marekani kaachwa mbali. Idadi ya watu, biashara na kila kitu
Idadi ya watu ni kigezo cha utajiri?
Naomba pia kujua pia kiasi cha utajiri wao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli si jambo la kushangaza kwa China kusema hivyo, inalinda maslahi yake zaidi.

Amekuwa mfadhili mkuu wa viongozi wengi waovu hasa Afrika na hata wakati mmoja hutomsikia akitoa maoni kuhusu demokrasia kukandamizwa.
Wanakwambia, Demokorasia haijawahi kuwa sababu ya maendeleo, zaidi Sana inaleta kudai haki za kipumbavu
 
hawa takataka zaidi ya kuiguza Africa hub ya uchafu wao na ujangili wasingesema tofauti
 
China hata kama mnauana na kutiana vilema,as long as wao wanaendelea kupiga pesa basi hiyo siyo concern yao kabisaaaa!Ndio maana Marekani anatambulika kama baba wa kulinda amani ya dunia!
Alilinda amani ya nchi gani Africa?
 
Back
Top Bottom