Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kunywa maji yakutoshaKuuza saaana kunatokana na sababu nyingi, wengi wanaenda China kutokana na bei.
Product za ulaya ni kitu kingine. Hasa hizo scania, volvo n.k uhakika wa kukaa na gari miaka 20 bila injini kushushwa ni 90%
Naunga mkono hojaChina TAIFA TEULE
Kwa taarifa yako tu; C191 imeruka siku moja tu ikarudishwa kiwandani kutatua matatizo ya oxygenai ambayo hata wao wenyewe hawajui limetoka wapi. C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni linalowasumbue lakini hawawezi kuyaamrisha hayo makampunie ya nje yabadilishe design zao kuwafurahisa CCP.China is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
Kabisa mkuu. Kachanganya biashara na ubora.Aliyekosea ni yule alieanzisha ubora wa mabasi badala ya hoja ya msingi ya kubiashara.
US ukiona nchi wanailetea nongwa kinomanoma ujue hiyo nchi ipo vizurWachina wapo vizuri!!
Mzungu karahisisha sana maisha sasa watu wameshamzoea wanamchukulia poaJF ina vilaza sana siku hizi, mtu anaona mafanikio na tec za US na Ulaya ni kama kitu fulani hivi simple.
Hakuna tec zozote za maana kutoka china zaidi ya kuanza kuvumbuliwa na magharibi kisha yeye anakuja kupaste.
Acha hizo chuma zitembee zinaenda mbali sana, Kama hutaki kuwahi kufika ni ww panda mizaha ipo mingi tu panda kina alfa.Madereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Acha tu, ila hata China mwenyewe anajua nguvu ya mzungu. Tecs karibia zote wazungu ndio wavumbuzi.Mzungu karahisisha sana maisha sasa watu wameshamzoea wanamchukulia poa
Vitu vingi vinafuata miundo aliyofanya mzunguAcha tu, ila hata China mwenyewe anajua nguvu ya mzungu. Tecs karibia zote wazungu ndio wavumbuzi.
Research and developmentR&D ndio nini? Fafanua
HakikaKabisa mkuu. Kachanganya biashara na ubora.
Mh.. hizo oda za ndege walizopokea kwa hiyo ni uongoKwa taarifa yako tu; C191 imeruka siku moja tu ikarudishwa kiwandani kutatua matatizo ya oxygenai ambayo hata wao wenyewe hawajui limetoka wapi. C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni linalowasumbue lakini hawawezi kuyaamrisha hayo makampunie ya nje yabadilishe design zao kuwafurahisa CCP.
Wamezipokea kutoka wapi kama siyo serikali ya China tu ambayo inamiliki makampuni kadhaa ya ndege kwa safari za ndani ya China tu.Mh.. hizo oda za ndege walizopokea kwa hiyo ni uongo
Kipindi hicho Dar Lux kulikua na DRR (tamka D warawaraa) halafu ally's yy yupo na DRG aka la petrolAcha hizo chuma zitembee zinaenda mbali sana, Kama hutaki kuwahi kufika ni ww panda mizaha ipo mingi tu panda kina alfa.
Fj hizo chuma huwa zinatupwa ni [emoji91] hizo allys kizazi cha kina DXS zisifatwe kabisa.
Mkuu mimi napenda sana ma BUS yanayokimbia , yani magari yanayo nyata bora nihairishe safari.
Kitu nilichoshindwa ni kuacha ushabiki wa haya ma BUS yanayokimbia[emoji23] ni kama kilevi kwangu. Ushaziona hizo ally's zinavotupwa Road mkuu?
Kuna chuma ya ally's imepotea ilkua inaitwa la petrol 554 DRG wakina dar lux na mashoga zake kampuni zilikufa kwa kufata hiyo chuma[emoji1787]
.Kipindi hicho Dar Lux kulikua na DRR (tamka D warawaraa) halafu ally's yy yupo na DRG aka la petrol
Saiv ally's ana kizazi cha vichaa DXS kuna DXS 557 Winchester, kuna DXS 360 unstoppable alafu kuna DXS 554 Mo hizi chuma zimechafukwa zimebakia kupaa tu[emoji23][emoji23]Kipindi hicho Dar Lux kulikua na DRR (tamka D warawaraa) halafu ally's yy yupo na DRG aka la petrol