China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Kuuza saaana kunatokana na sababu nyingi, wengi wanaenda China kutokana na bei.

Product za ulaya ni kitu kingine. Hasa hizo scania, volvo n.k uhakika wa kukaa na gari miaka 20 bila injini kushushwa ni 90%
Kunywa maji yakutosha
 
China is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
Kwa taarifa yako tu; C191 imeruka siku moja tu ikarudishwa kiwandani kutatua matatizo ya oxygenai ambayo hata wao wenyewe hawajui limetoka wapi. C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni linalowasumbue lakini hawawezi kuyaamrisha hayo makampunie ya nje yabadilishe design zao kuwafurahisa CCP.
 
JF ina vilaza sana siku hizi, mtu anaona mafanikio na tec za US na Ulaya ni kama kitu fulani hivi simple.

Hakuna tec zozote za maana kutoka china zaidi ya kuanza kuvumbuliwa na magharibi kisha yeye anakuja kupaste.
 
Mzungu karahisisha sana maisha sasa watu wameshamzoea wanamchukulia poa
 
Madereva wa bongo ni wapumbavu sana bado wana ujinga na utoto. Kwa mfano hao wa Ally's, Katarama na New Force ni kama wendawazimu. Nchi za wenzetu wangekuwa wameshafungiwa leseni na kampuni kupigwa fine kubwa
Acha hizo chuma zitembee zinaenda mbali sana, Kama hutaki kuwahi kufika ni ww panda mizaha ipo mingi tu panda kina alfa.

Fj hizo chuma huwa zinatupwa ni [emoji91] hizo allys kizazi cha kina DXS zisifatwe kabisa.

Mkuu mimi napenda sana ma BUS yanayokimbia , yani magari yanayo nyata bora nihairishe safari.

Kitu nilichoshindwa ni kuacha ushabiki wa haya ma BUS yanayokimbia[emoji23] ni kama kilevi kwangu. Ushaziona hizo ally's zinavotupwa Road mkuu?

Kuna chuma ya ally's imepotea ilkua inaitwa la petrol 554 DRG wakina dar lux na mashoga zake kampuni zilikufa kwa kufata hiyo chuma[emoji1787]
 
Acha tu, ila hata China mwenyewe anajua nguvu ya mzungu. Tecs karibia zote wazungu ndio wavumbuzi.
Vitu vingi vinafuata miundo aliyofanya mzungu
Wachina kama vipi watengeneze ndege isiyokuwa na mabawa 😄
 
Kwa taarifa yako tu; C191 imeruka siku moja tu ikarudishwa kiwandani kutatua matatizo ya oxygenai ambayo hata wao wenyewe hawajui limetoka wapi. C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni linalowasumbue lakini hawawezi kuyaamrisha hayo makampunie ya nje yabadilishe design zao kuwafurahisa CCP.
Mh.. hizo oda za ndege walizopokea kwa hiyo ni uongo
 
Wamezipokea kutoka wapi kama siyo serikali ya China tu ambayo inamiliki makampuni kadhaa ya ndege kwa safari za ndani ya China tu.

Msikilize you mama wa kichina

Acha hizo chuma zitembee zinaenda mbali sana, Kama hutaki kuwahi kufika ni ww panda mizaha ipo mingi tu panda kina alfa.

Fj hizo chuma huwa zinatupwa ni [emoji91] hizo allys kizazi cha kina DXS zisifatwe kabisa.

Mkuu mimi napenda sana ma BUS yanayokimbia , yani magari yanayo nyata bora nihairishe safari.

Kitu nilichoshindwa ni kuacha ushabiki wa haya ma BUS yanayokimbia[emoji23] ni kama kilevi kwangu. Ushaziona hizo ally's zinavotupwa Road mkuu?

Kuna chuma ya ally's imepotea ilkua inaitwa la petrol 554 DRG wakina dar lux na mashoga zake kampuni zilikufa kwa kufata hiyo chuma[emoji1787]
Kipindi hicho Dar Lux kulikua na DRR (tamka D warawaraa) halafu ally's yy yupo na DRG aka la petrol
 
Saiv ally's ana kizazi cha vichaa DXS kuna DXS 557 Winchester, kuna DXS 360 unstoppable alafu kuna DXS 554 Mo hizi chuma zimechafukwa zimebakia kupaa tu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom