China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati.
Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa Hamas,Ismail Haniye ndani ya Iran ilikuwa ni kitendo cha kichokozi na ukiukwaji wa maazimio ya kimataifa ya kuheshimiana kati ya nchi na nchi.
Tamko hilo la China linakuja wakati Pentagon imeidhinisha kupelekwa kwa meli zaidi ya kivita katika eneo la mashariki ya kati pamoja na silaha mbali mbali za kivita kutokana na kitisho cha vita vya wazi kutokea baina ya Israel na majirani zake.

China supports Iran in defending security, says foreign minister

 
China ataweza figisu za wayahudi. Anafikiri marekani kuwakumbatia wayahudi anapenda. Ni kwa sababu wamejipenyeza katika siasa za Marekani. Inawalazimu Marekani awe anahusika kila inapotokea Israel kawasha moto uko mashariki ya Kati. Leo hiii China iliyoshindwa kumzuia Spika Nancy Pelosi asiende Taiwan ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ผ na akaenda akaa siku moja na kuondoka na kuwaaacha wachina wakikata viuno kwenye bahari. Ndio wataweza kumzuia Myahudi ambae nyuma ya myahudi kuna USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ, Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ, France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท, Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช, England ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ, Italy ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น na Japan. Na hata haawa warusi waliopo kwenye system wana asili ya kiyahudi. Na isitoshe bihashara anaowategemea kufanya nao kibiashara ndio hawo G7. Naona hanguko la uchumi la China limekaribia kama atajihusisha na siasa za mashariki ya kati.
 
Wayahudi uwezo wao ni ulaya tu. Wachina hawaabudu Mungu. Wanaamini kwenye incarnation
 
China inaheshimu kiasi fulani heshima ya binadamu na inapima wapi pa kutumia nguvu.Safari yote ya Nancy Pelosi iliulikana lakini kumtungua ili asifike Taiwan au asirudi kwao ni uchokozi usiokuwa na maana.Sio fikra kama za kinyama za mayahudi wanaomuua mgeni wa watu na kiongozi wa watu akiwa ndani ya Iran.
Kosa la Ismail Haniya ni kukazia katika kutosalimu amri na kuendelea na vita.Israel ilitaraji kwa kumuua ndio ingepata nafuu lakini aliyeingia madarakani yule aliyetangulia alikuwa na msimamo poa kuliko yeye.
 
Kama nyinyi pia mnavyopenda kumtukuza mtu kufikia kumuona kama Mungu.Muangalie mwenzako hapo juu.
Adui wa Irani awe adui wa china pia? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ I'm proud to be Muslim
 
Sijui kumbukumbu zako imekuwaje ghafla zimekuwa kama za pono.Kwani Marekani ni nani kwa China na Iran.
Marekani ametokea wapi Tena?

Kwahiyo adui wa Iran ni adui wa china pia?
 
Yule ni gaidi na alikua kwenye most wanted list ya Mossad.
 
Ilmu yako ni hadi sunday school ya ngapi shekhe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ