China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🚨Update: Taiwan on full alert! Prepares for invasion!! Chinese President Xi orders that Taiwan be surrounded and cut off from all foreign influence!! War is coming soon!!🚨Update: Taiwan on full alert! Prepares for invasion!! Chinese President Xi orders that Taiwan be surrounded and cut off from all foreign influence!! War is coming soon
 
Huyu balozi wa US bado anaota
But, but we are the No. 1! 🤣

🇺🇸 US Ambassador to China Nicholas Burns: "China needs to recognize that the US is the leader in Asia."
 

Attachments

  • IMG_20241014_104514.jpg
    40.6 KB · Views: 3
nafkiri China ndio taifa joga zaidi duniani
 
Haha China bhana😀
Wamevizoa Marekani ipo kwenye kampeni ndio wameanza kujimwambafai😂
Vita ni timing tu,,kama wakifanya kweli marekani atakua kwenye wakati mgumu sana, hizo front zote kuzisimamia sio rahisi na kumbuka yatapigana mataifa makubwa,,,,Ukraine haijamalizika, bado Israel na Iran inanukia,,,msipokaa vizuri kiduku nae anaweza akaliamsha kwa mwenzie wa kusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…