China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Nlikaa na mhindi mmoja akasema China hapendwi huko Asia Kwa sera zake za kujitanua
Yaani umekaa na sunili shetty mmoja tuh alaf unaona umepata habari ya uhakika
Hayo ni mawazo yake
 
endeleen kufurahia vita za wenzenu soon yatakuja kwenu na muendelee kufurahia hvy hvy mana ni jambo jema
 
Hukuwai sikia fununu za mlima Kilimanjaro au ? Au ujui upande mmoja wa mlima uko Kenya
Mimi nimeuliza. Hayo umesema wewe kuwa upande mmoja wa mlima Kilimanjaro upo Kenya.

.Kwa tulioishi na wakenya hatupati shida kuwaelewa hata kidogo.
 
China ya sasa sio Japan ya zamani wala China ya zamani.
Kamsikilize Bi.Ursula Vonder Leyen umsikie kuhusu ukubwa wa China duniani.
China ni taifa kubwa in economic and millitary capabilities.
Wanasema watu ni mtaji, kutokana na idadi ya watu walionao kwa ujumla jeshi litakuwa na watu wengi.
 
Umeambiwa lete speech ya Putin akisema hayo ,we unaleta maneno waliosema wanahabari wako .hayo maneno hajawai yasema Putin maana tangu mwanzo mwa smo ushahid wa hayo maneno haujawai letwa hapa ..
Kila mkiambiwa mnaruka ruka kama pop corn
Atakayeleta ushahidi huo aweke na ac namba yake ya crdb nimtumie 1 milion .
 
WATU WAMETENGENEZA NA KUNUNUA SILA MIAKA NENDA RUDI HAZINA KAZI SASA WANATKA KUZI-TEST
 
Tukiweka mbali ushabiki,kiuhalisia China siku ikiamua,inauwezo wa kuiteka Taiwan ndani ya masaa 6,na kuifanya kuwa mmoja kati ya mikoa yake.
 
Haya wazee WA dini, uwanja Ni wenu

Twambueni vitabu vyenu vinasemaje khs Hii Vita ya china na taiwani. Nani atakua mshindi.

Nani abarikiwe na nani alaaniwe ili maandiko yatimie😀

Afu nmeskia pia kule N.KOREA vs S. Korea nao tayari wamekiwasha😊
 
Mbali na uwekezaji, bado China soko lake kuu linalomlipa ni Ulaya na US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…