Ni kweli mkuu Ukrane alikuwa haja saini kuwa member wa NATo kwa kipindi kile ndo kwanza alikwa member mpya wa EU.Wakati RUSSIA inaichukua CRIMEA ilitumia weakness za biden pia!?
Siwakubali US ila huyu biden mnamuonea sana yaan
China now ana madui wengi hapo Asi hana rafiki zaid ya korea kaskazini pia ana mgogoro wa kimipaka hadi na urussiNisuala la muda tu mkuu yaan
Sio rahisi,tokea 1940 walivyotengana wameshindwa kuichukua waweze leo,itamwagika damuAnachoona China ni kwamba akichelewa Taiwan itazidi kujiimarisha na silaha za Marekani.
Pia akiwahi kuivamia kuna uwezekano likawa ni jambo la hatari linaloweza kuiyumbisha China kwa kiwango kikubwa, ila kuna option wanayo ya kuwahi kuibeba taiwan huku wakiwa tayari kuingia vitani na Amerika pale itakapobidi.
Option hii hata Amerika anaiogopa maana itamgarimu kwa kiwango kilekile itakavyoigarimu China.
Naweza kukwambia Taiwan haitomaliza miaka 10.
Baadhi yetu humu tutalishuhudia hili! China yupo tayari kwa 100% hata kuiingiza dunia vitani kwaajili ya Taiwan kuliko Marekani ilivyo tayari kusimama na Taiwan kwa 100%
Vita ni vita Muraa
Hahah kosa ni hapo mnapo ifananisha Taiwan na nchi maskini kama za East EU. pia lazima ukumbuke Urusi alitumia udhaifu kwa Ukrain kutokuwa mwanachama wa NATO kuivamia pia ndo sababu nchi wanachama hawaku chukua action. Taiwan pia ni mtengenezaji chip au semiconductor kama snapdragon sim zote kali unayo ijua wew iwe imtoka China bara au ulaya ina mkono wa Taiwan,InVidia.pia computyuta zenye nguvu kama Azus.China atumie njia aliyotumia Putin kuikamata Crimea, lakini hizi za kupeleka ndege ndani ya Taiwan italeta taharuki sana na sio njia yenye manufaa zaidi, itakuwa na hasara zaidi japo watafanikisha...
Watengeneze waasi wanaoikataa Taiwan, then Taiwan ikitumia nguvu, China iingilie kati, waasi wapewe vifaa vyote vya kivita kimya kimya, pia China iingize special force commandos kama Russia ilivyofanya Crimea...
Russia kwenye intelejensia ni mwisho wa reli, raisi tu mwenyewe ni former KGB...
Sidhanii kama nilisema hakuna taifa la kuipiga IRAN ila nilisema kulingana na taifa husika ilikua ISRAELwewe nje ya mjadala uwa unamisimamo yako binafsi.
ulishawai kuandika humu kuwa hakuna nchi ya kuipiga iran nikifikiria ilo tu ilo linaniondolea uhalali wa kujadiliana na wewe.
hata kama jf ni kijiwe cha story ila story zako zinaukakasi sana.
nb:, marekani haitobaki kama ilivyo baada total war na china ila wakati unalitazama ilo vuta picha Beijing itakuwa na hali gani.
wakati shughuri zote ndani ya marekani zimesimama watu hawatoki ndani kwasababu ya vita sijui upande wa pili wa mpinzani watakuwa na hali gani.
[emoji4][emoji4][emoji4]
IRAN kua na nyuklia ni muhimu kwa afya ya taifa laonuclear ni decision ya mwisho kabisa katika vita.. yaan ni hali ya kwamba wote tukoswe ama wote tufe.
niliwai soma pahari kwamba Us kategesha Nuclear zake kati ya dakika 5 ama 10 nyuma ya nuclear ya za Russia.
hii inamaana kwamba Russia akifyatua nuclear, nuclear za Us hazihitaji uweke pin codes ilizifanye kazi,zitafyatuka automatically.
nuclear zinaleta hali ya kuheshimiana.. Russia yuko full loaded china Japan nae hivyo hawa wote wanajua madhara ya nuclear as matter of fact wote hawa wanavyakupoteza tofauti na
vi-nchi kama N/Korea, Iran etc.
Kuruhusu Iran/N, korea kuwa na nuclear ni uamzi wa hatari sana.. ni sawa na mwehu kumpa bunduki.
iran kuwa na nuclear ujue muda mfupi taleban watakuwa nayo, bokoharam watakuwa nayo alshabab nao watakuwa full loaded na hao jamaa ni uncivilized na hawana cha kupoteza, kukinukisha ni anytime.
ndiyo maana Us anapinga sana nuclear isiwe kama Smg.
Inasifa zakua nchi lakini sio nchi ukwelu usemweDuu we jamaa mchina wa bara nini?Taiwan ina sifazote za kuwa nchi na wananchi wake washapiga kula kuwa na nchi yao
Mkuu migogoro kawaida hata US ana migogoro nawashirika wake wakubwa juzi tu hapa france kaita baloz wake kutoka US sababu ya maslahi ya kuuziana nyambizi sijui lile sakata limemalizikia wapiChina now ana madui wengi hapo Asi hana rafiki zaid ya korea kaskazini pia ana mgogoro wa kimipaka hadi na urussi
Mura! hii kitu ikipigwa tutapata shidaVita ni vita Muraa
ulisema tena si mara moja. nadhani unapaswa utamka hadharani kuwa watu wasichukulie serious kile unachokisema.Sidhanii kama nilisema hakuna taifa la kuipiga IRAN ila nilisema kulingana na taifa husika ilikua ISRAEL
Kuhusiana na vita si US wala CHINA ambae atabakia kama alivyo ikitokea total war ila US hawezi kuiingiza US yao vitani tena na taifa kama UCHINA eti kisa TAIWAN kwahili sahau MKUU
ulimwengu wa wenye akili hawawezi ruhusu weu kuwa na nuclear.IRAN kua na nyuklia ni muhimu kwa afya ya taifa lao
Muache ukoloni mambo leo
Ni China hajaamua kuingia Taipei kibabe, ni ile kwamba hawa jamaa ni ndugu so kuwateka kwa umwagaji damu wanaona kama sio ila kinyume na hapo Taiwan hawezi chukua raundi kwa mchina.Unawachukulia poa Taiwan sio? Hapo mchina anapaogopa sababu anajua akigusa tuu ni total destruction kwake na kwa Taiwan.
china hajawai kuwa na huruma na damu ya mtu.Ni China hajaamua kuingia Taipei kibabe, ni ile kwamba hawa jamaa ni ndugu so kuwateka kwa umwagaji damu wanaona kama sio ila kinyume na hapo Taiwan hawezi chukua raundi kwa mchina.
Si na sisi tumevutia wawekezaji ila hatuinuki? Acha kuwachukulia poa wachinana mbaya zaidi wanambeza Us ambae kaplay part kubwa kujenga uchumi wa china. bila
Deng Xhioping kuirusu Marekani iwekeze ndani ya china leo upupu huu unaandikwa humu usingelikuwepo.
ndiyo, wachina wana akili na wanafanya kazi sana lakini hawakuwa na ujanja wa kutoka kwenye shimo la uchumi mbovu.
ungrateful animals.
siwachukulii poa, ila nawao wawe na SHUKRAN na aibu kwa taifa lililowainua.Si na sisi tumevutia wawekezaji ila hatuinuki? Acha kuwachukulia poa wachina
Hamna mkuu sio kwetu tu. Juzi mkutano wa G7 wajerumani na wafaransa wameshindwa kuafikiana na Biden kuhusu kuilaumu China kwa baadhi ya mambo dalili kwamba mchina nae ni mkubwa siku hizina vi-nchi vinavyoiona china ni super power ni vi-nchi wa ulimwengu wa 3.
ππ
To prevent military conflicts between China and the US and ensure 100 percent security, the US must retreat from provoking China's core interests. As the "freedom of navigation" in the South China Sea has never been a problem, why do US warships always sail so close to China's islands and reefs? The South China Sea is so wide that lanes are everywhere. Why must they come to China's islands and reefs to find trouble? This is not navigation at all, but undisguised provocations and threats.As we speak China ni taifa la 3 kwa nguvu za kijeshi duniani huku likiwa ni taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani. Hivi kweli Marekani pamoja na kuwa taifa lenye kiherehere kuliko yote duniani anaweza kupambana na taifa la aina hii kisa Taiwan, jimbo ambalo hata UN wamegoma kulitambua kama taifa huru! Mbona mnazichukulia poa sana nguvu za kufikiri za Pentagon?
Kama wenye akili wenye nyuklia nikama wale walio sababisha maafa kule nagasaki na hiroshima ni kheri wehu kama IRAN wamiliki Nyuk dunia inaweza ikawa mahala salama zaidiulimwengu wa wenye akili hawawezi ruhusu weu kuwa na nuclear.
iran kuwa na nuke hathali zake hadi sisi tulioko uku kibiti zitatupata.
π€£π€£ bila shambulizi ilo dunia isingelijua athali za nuclear ebu fikiria kuelezea athali za nuclear kwa maneno matupu tu bila mfano?.hakuna ambae angejali ila mfano hai tunao ndiyo maana inatakiwa wenye akili wamiliki hayo madude.Kama wenye akili wenye nyuklia nikama wale walio sababisha maafa kule nagasaki na hiroshima ni kheri wehu kama IRAN wamiliki Nyuk dunia inaweza ikawa mahala salama zaidi