ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

mkuu hata screens anachukua china kwa BOE
 
Soko linalimpatia China hela ndefu zaidi ya products zake ni siko la US. Akilikosa hilo anawezavakaporomoka hadi nafasi ya 6 kiuchumi duniani , halafu watu wanajiongelea tu bila uelewa.
WACHINA WANA MIDDLE CLASS YA WATU MILIONI MIA NANE.......KWAHIYO HATA ASIPO EXPORT PRODUCTS ZAKE SOKO LA NDANI LINAMTOSHA....ANACHOTKIWA KUFANYA NI KUBADILISHA SPENDING BEHAVIOUR ZA WACHINA.PIA HAWA JAMAA WANAZISAIDIA NCHI MASIKINI ZIKUE KIUCHUMI ZIWEZE KUABSORB INDUSTRIAL CAPACITY YAKE
 
Sawa mwalimu
 
Iliwahi kutabiriwa kufikia 2010 China angekuwa ndo superpower, baadae ikatabiriwa kwenye 2014 au 16 China angeshika usukuni ila bado US amekuwa kiranja.
China haijawahi kutaka kuwa superpower na wala sio lengo lake

Wanachotaka China ni self dependence kwenye sci-tech na win-win cooperation

Na ndio wanavyosema viongozi wa China

Ni uoga tu wa nchi za Magharibi ndio maana wanakuja na kauli kama hizo za kutabiri
 
Mchina anakuja tu kucopy. Sasa huwezi shindana na mtu anayekuletea tech kisha wewe ucopy uje ushindane nae ktk nyanja yoyote ile.
Mnashindwa kuelewa kati ya copy and paste na innovation na invention

Jet engine ya kwanza ilibuniwa (invented) Uingereza, leo pia Marekani wanatengeneza jet engine je, walicopy na kupaste au walifanya innovation?

Gari la kwanza lilibuniwa (invented) Ujerumani leo pia Marekani anatengeneza magari kama GM n.k. Je, Marekani alicopy na kupaste au alifanya innovation?

Mifano ni mingi ila nimezungumzia hiyo michache ili ujue kuwa kuna mtu anafanya invention na kuna wanaokuja kufanya innovation

Tatizo lenu Mchina akifanya innovation kama Marekani mnakimbilia kusema copy and paste

Kama ni hivyo basi tukubaliane Mmarekani naye amefanya copy and paste ya vitu ambavyo hakufanyia invention?
 
Mchina alivyo mbinafsi angekuwa yeye ndo US angepiga stop vitu vingi vyake visitumike nje
Sasa vitu vyako visipotumika nje utategemea kupata wateja kweli?

Mbona Marekani amepiga marufuku baadhi ya makampuni yake ya semiconductors yasiuze China?

Je, wajua kuwa Marekani iliizuia China isijiunge kwenye International Space Station? Mpaka China akaamua kuanzisha space station yake ya Tiangong Space Station (TSS)?

Je, wajua kuwa Marekani imeizuia China isishiriki katika tafiti kadhaa za kiteknolojia?

Ni nani mchoyo kati ya Marekani na Mchina?

Mbona Mchina anatengeneza hata factories nje ya China, mfano kuna

BYD Hungary

FAW South Africa

Kupitia BRI amewezesha mataifa mengi yaliyojiunga kutumia vitu vya China.

China ikiwa factory of the world inauza bidhaa zake dunia nzima.

Je, ni sahihi kusema Mchina alivyo mbinafsi angekuwa yeye ndo US angepiga stop vitu vingi vyake visitumike nje?
 
Hapa tunazungumzia mifumo ya elimu, mitandao ya kijamii, mifumo ya fedha, taasisi za kiuchumi, afya, teknolojia mbalimbali n.k. Mambo mengi tu Amerika ndo muasisi wake na sio Mchina, vitu vingi Mchina amekuja kucopy tu.
Je, una uhakika mifumo ya elimu imeanzishwa na Marekani? Umewahi kufanya utafiti kuhusu the oldest school na university hazikuwa Marekani?

Uliwahi kufanya utafiti na kugundua hata mitaala ya ufundishaji haikuanzia Marekani?

Je, wazifahamu taasisi za kwanza za kifedha duniani zilianzia nje ya Marekani? Je, uliwahi kujua kuwa hata benki ya kwanza duniani hakuanzia Marekani?

Hiyo ni mifano michache tu. Unapotumia neno muasisi ukae ukijua unamaanisha wa kwanza kabisa kufanya au kuanzisha jambo fulani kabla ya wengine
 
Ulaya na Marekani wote wanatengeneza EV kama China, but ili kudhibiti nchi za Ulaya na Marekani zisipeleke magari yao China, alichofanya China ni kuwapandishia tarrifs
China haijawahi kuongeza tariffs kwenye EVs za kutoka Ulaya na Marekani

Je, wajua kuwa China ni soko muhimu la magari ya Ulaya?

Na ndio maana CEOs wa Mercedes Benz, BMW, Volkswagen hawakuunga mkono China-made EVs kuongezewa tariffs Ulaya.

Unajua ni kwa nini?

Wanajua China ni soko lao kubwa la hizo brands wasiwasi wao ni je, China nao wakiongeza tariffs kwenye brands za Ulaya si watakosa wateja?
 
EU nao wameshapendekeza kupandisha tarrifs kwa EV kutoka China, tena wao tarrifs za ni ndefu kuliko za US
Hizi ni habari za uongo acha kupotosha watu

EU wameongeza tariffs kufikia 38.1% na wakati Marekani ni 100%

Na tariffs za EU zinatofautiana na brands, kwa mfano;

BYD: 17%
Geely: 20%
SAIC: 38.1%

I think you know nothing about global trading
 
China alipoona ameminywa ndiyo akatoka out in the open kuanza
Ni EU wa kwanza kulalamika kuwa China imefanya flooding ya EVs katika soko lao na kusiingizia kuwa ni industrial overcapacity

Hata kwenye kikao chao cha G7 kilichomalozoaka hapo Italy wiko jana walikuwa wanazungumzi hilo

China ilichosema kusema kuwa hilo ni kinyume na kanuni za WTO
 
Mpaka siku utakapoweza kutofautisha kati ya propaganda na habari za kweli ndipo tutaweza labda kukaa meza moja na kufanya analysis ila kwa sasa uwezo wako ni mdogo sana

YouTube kuna video nyingi sana za Anti-China propagandists hasa Wahindi, na mara zote huzungumzia vitu negative kuhusu China

YouTube hata wewe unaweza kuweka video yako ukasambaza habari za uongo

Ukiendelea kuamini propaganda hakuna siku utaweza kufanya analysis inayoeleweka kuhusu global trading, international affairs, geopolitical and diplomatic issues
 
The big difference between me and you is one, I speak my arguments using real examples that make sense.

But you guy have arguments that do not have real examples

I know it's not your fault, it's that you don't have a broad understanding of the topics we're talking about
 
Waambie hao. Marekani yupo mbali saana
Pita na huu uzi uongeze maarifa

 
Kitu kimoja kuhusu Marekani ni kuwa ni developed country, ilipo China sasa, Marekani ilikuweko miaka zaidi ya 30 iliyopita ndo maana huwezi kuta Marekani wana maendeleo ya barabara au treni
 
Hizi ni habari za uongo acha kupotosha watu

EU wameongeza tariffs kufikia 38.1% na wakati Marekani ni 100%

Na tariffs za EU zinatofautiana na brands, kwa mfano;

BYD: 17%
Geely: 20%
SAIC: 38.1%

I think you know nothing about global trading
Uwe unajishughulisha kuanzia jambo linapoanzia, US kabla ya kufikia hiyo 100% walipandisha hadi 27% na hapo alitakiwa seriksli ijiweke kando, maana biashara za chini ni government backed . Kama kuna watakaotengeneza na kuuza kama makampuni binafsi basi yuatatozwwa hiyo 27% percent. Ma ameambiea technology yake lazima ifumuliwe na kuchunguzwa maana EV zinakusanya taarifa nyingi kuanzia za mitaa, hali ya hewa, mawasiliano n.k. China ameanza kulia wakati na yeye huwa anafana hivyohivyo na wenzake hawakulia bali wali comply naye.
China analihitaji sana soko la Marekani.
 
Mimi nimefungua hardware na ninapiga tofali njoo nikufundishe biashara

Kwa sababu ninafanya vyote kwa mfano nikipata mteja wa tofali basi inakuwa rahisi kumwambia nina cement na vifaa vingine vya ujenzi

Na ndio maana ninaweza kuishika site kuanzia msingi mpaka finishing kwa sababu ninauza vifaa vyote vya ujenzi
 
Nimeshatoka huko kitambo, unachotska kunifundisha nilishakufahamu na nilikubaliana na mzee wangu. So wewe endelea nayo.
 
Huwa mambo hayaangaliwi katika angle hiyo. Ni nani aliyekwambia wameshindwa?
Naona sasa mmeanza kuleta double standard sio?

Mchina akiagiza baadhi ya components za bidhaa zake kutoka nje mnasema hana teknolojia

Leo iPhone ana suppliers wa nje ya Marekani mnasema ni nani aliyekwambia Apple wameshindwa. This is pathetic! 🤣🤣🤣

Ok basi nikuulize tu maswali mawili;

Kwa nini HUAWEI waliamua waanze kutegemea components za ndani China-made sababu kuu ilikuwa ni nini?

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa Apple wanapotegemea suppliers wa nje ina maana wana tech hafifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…