Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Niliwah kupiga pastry mkuu hizi ishu zinatoka kwenye hot kitchen. Mafuta mazur kutumia ni yale ya sunflower.
Pastries wanatengeneza mikate, keki, mous, chocolate brownies, ice creams, vitafunwa kama crosants, cookies na ishu zote za kubeki. Hata pizza pia

Sambusa na vitu vya kukaanga, kutia mafuta na kuchemsha wanatokaga hot kitchen. Huko mnapika spaghetti za nyama, samosa za salads, za nyama na michuzi. mapishi mapana sana kama ushawahi kuona pilau limewekwa korosho?
 
πŸ˜„ pilau la korosho wee acha kabisa nakuambia huwa nasafiri kutafuta mlo mzuri
Leo ijumaa nimekula Mandi kwa Wayemeni

Vipi huna restaurant nikija nije kula mapishi hayo?

Kuhusu mafuta huku wanalima sana Rapeseed na wanatoa mafuta yake
Na ndio hata KFC wanatumia hayo mafuta kwa kukaangiza
 
nimeshangaa Nyamwi255 anasema mbusus tamu wakati hajawah kukutana na vitu kama hivi. Unaweza kusahau hadi mke nyumbani.. mm niliwah kuzimia kwnye cold room sabab ya pilau la korosho alafu kulikuwa na roasted beef! Asee πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kalaga baho napenda kula sana

 
Jamaa keshasema anataka akauze USWAHILINI
 
K

Kiaz hiki mkuu kentucky hakina standard? Are you sirias
Mkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..
Ofcoz simaanish hamna viaz vikubwa na vizuri hapa kwetu..not at all...vipo ila kwa wakulima wachache..swali ni mkulima huyo akipewa tenda anaweza kuwa reliable na akameet standard wanayotaka throughout?
 
Anaeuza hotelini sio mkulima, mtu anaepeleka kule ni mtu kati anapeleka hizo viazi vya standard flani so anachgua. Na hapeleki hivyo tu, usishangae anapeleka na broccoli na mazaga mengine huko. Hujawah kuona supplier kwenye mahotel inavyokuwa nn?
 
Ndio maana hata jirani walichemsha wakapigwa chini
Ukipata tenda wao wanajua utawapelekea kitu bora na kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…