Spices za nini menya viazi tumbukiza kwenye mafuta imeisha hiyo😀Fungueni uzi wa mapishi mfundishwe.. hao ni watu wa hot kitchen. Chips ukijua kuipika na ukapata spices mixing nzuri za sous (formula) umemaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spices za nini menya viazi tumbukiza kwenye mafuta imeisha hiyo😀Fungueni uzi wa mapishi mfundishwe.. hao ni watu wa hot kitchen. Chips ukijua kuipika na ukapata spices mixing nzuri za sous (formula) umemaliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, woiiiiiihWe viazi vitoke South afrika [emoji38]
Mm niliambiwaga zile kuku zinatoka moja kwa moja USA eti kentucky makao makuu
Halafu zinafanana kwenye nchi yyt utakayowakuta😄Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
Niliwah kupiga pastry mkuu hizi ishu zinatoka kwenye hot kitchen. Mafuta mazur kutumia ni yale ya sunflower.Ni kweli mkuu
Mapishi wahindi wanajua ila nao siri yao ni mafuta mengi sana na pilipili na spices kwa sana
Ila napenda mapishi ya Lebanese cuisine na Syrian pia
Hata hapa nilipo kuna sehemu inaitwa Park Royal wana hoteli zao mpaka za sweets yaani jamaa wako vizuri kila nyanja kuanzia chakula, vitu vitamu sweets na hata masambusa ya aina aina
Kweli napenda mapishi ila sio mzuri hivyo
Lakini naweza kusafiri kwenda nchi ya mbali kwa.ajili ya traditional foods tu
Umewahi kusikia hiyo 😄
Inaonekana wewe ni mpishi
Yep..ni viaz hivi hivi kweli but imported..frozen french fries..so kama ni siri ya recipe yao wanafanyia hukoo mbali..Viazi n hivhiv ila kuna kitu hapo nahis kimefichwa kujitofaitisha na mikono ya watu wengine
Vitoke kama ugali? Ndo mana mnaachika weka vinegar kwenye maji, vionshee. Chukua njano weka kwemye maji yaweke jikoni vichemshe kidogo humoSpices za nini menya viazi tumbukiza kwenye mafuta imeisha hiyo😀
We mama mchaga nn?Spices za nini menya viazi tumbukiza kwenye mafuta imeisha hiyo😀
We hushangai mkuu, ila viazi wanavyoweka pale ni vikubwa sana kidogo kama ngumi ya mkono wakoTunawakatisha tamaa wajulima wetu kule mbeya
Wala si hivyo jibu ni kwasababu muanzilishi ni Myahudi ndo maana.Kuhusu kukatwa size moja jibu liko wazi kwamba hukata mashine..kuhusu utamu pia jibu ni wanajitahidi kumanage kiasi cha mafuta na kuzikausha vzr
😀😀We mama mchaga nn?
Infact viazi vyetu havimeet standard yao..ni vidogo dogo sana na pengine ndo sabab ya wao kuagiza toka nje..Tunawakatisha tamaa wajulima wetu kule mbeya
Kiaz hiki mkuu kentucky hakina standard? Are you siriasInfact viazi vyetu havimeet standard yao..ni vidogo dogo sana na pengine ndo sabab ya wao kuagiza toka nje..
😄 pilau la korosho wee acha kabisa nakuambia huwa nasafiri kutafuta mlo mzuriNiliwah kupiga pastry mkuu hizi ishu zinatoka kwenye hot kitchen. Mafuta mazur kutumia ni yale ya sunflower.
Pastries wanatengeneza mikate, keki, mous, chocolate brownies, ice creams, vitafunwa kama crosants, cookies na ishu zote za kubeki. Hata pizza pia
Sambusa na vitu vya kukaanga, kutia mafuta na kuchemsha wanatokaga hot kitchen. Huko mnapika spaghetti za nyama, samosa za salads, za nyama na michuzi. mapishi mapana sana kama ushawahi kuona pilau limewekwa korosho?
Kuna mtu aliwahi nambia hiki kitu, kumbe ni kweliii?
😄 pilau la korosho wee acha kabisa nakuambia huwa nasafiri kutafuta mlo mzuri
Leo ijumaa nimekula Mandi kwa Wayemeni
Vipi huna restaurant nikija nije kula mapishi hayo?
Kuhusu mafuta huku wanalima sana Rapeseed na wanatoa mafuta yake
Na ndio hata KFC wanatumia hayo mafuta kwa kukaangiza
View attachment 3077507
Jamaa keshasema anataka akauze USWAHILININikutajie spices? Unaijua vinegar? Unaweka na unga wa njano kwnye ngano.
Kuna mashine ya kukatia viazi saizi moja na vile viazi vinamenywa kwa kujenga shepu ya mstatili so unakata nyama nyingi tu pembeni.
Vipande vile unavitia kwenye maji ya njano yaliyotiwa vinegar..
Lakin kutengenza chips tam mbona easy tu. Unataka kuuzia wap
Mkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..K
Kiaz hiki mkuu kentucky hakina standard? Are you sirias
Shoprite walishafunga maduka yao yapata miaka 5 iliyopitaNenda shoprite uone vitunguu toka south africa
Anaeuza hotelini sio mkulima, mtu anaepeleka kule ni mtu kati anapeleka hizo viazi vya standard flani so anachgua. Na hapeleki hivyo tu, usishangae anapeleka na broccoli na mazaga mengine huko. Hujawah kuona supplier kwenye mahotel inavyokuwa nn?Mkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..
Ofcoz simaanish hamna viaz vikubwa na vizuri hapa kwetu..not at all...vipo ila kwa wakulima wachache..swali ni mkulima huyo akipewa tenda anaweza kuwa reliable na akameet standard wanayotaka throughout?
Ndio maana hata jirani walichemsha wakapigwa chiniMkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..
Ofcoz simaanish hamna viaz vikubwa na vizuri hapa kwetu..not at all...vipo ila kwa wakulima wachache..swali ni mkulima huyo akipewa tenda anaweza kuwa reliable na akameet standard wanayotaka throughout?