Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Ni kweli mkuu
Mapishi wahindi wanajua ila nao siri yao ni mafuta mengi sana na pilipili na spices kwa sana
Ila napenda mapishi ya Lebanese cuisine na Syrian pia
Hata hapa nilipo kuna sehemu inaitwa Park Royal wana hoteli zao mpaka za sweets yaani jamaa wako vizuri kila nyanja kuanzia chakula, vitu vitamu sweets na hata masambusa ya aina aina
Kweli napenda mapishi ila sio mzuri hivyo
Lakini naweza kusafiri kwenda nchi ya mbali kwa.ajili ya traditional foods tu
Umewahi kusikia hiyo 😄
Inaonekana wewe ni mpishi
Niliwah kupiga pastry mkuu hizi ishu zinatoka kwenye hot kitchen. Mafuta mazur kutumia ni yale ya sunflower.
Pastries wanatengeneza mikate, keki, mous, chocolate brownies, ice creams, vitafunwa kama crosants, cookies na ishu zote za kubeki. Hata pizza pia

Sambusa na vitu vya kukaanga, kutia mafuta na kuchemsha wanatokaga hot kitchen. Huko mnapika spaghetti za nyama, samosa za salads, za nyama na michuzi. mapishi mapana sana kama ushawahi kuona pilau limewekwa korosho?
 
K
Infact viazi vyetu havimeet standard yao..ni vidogo dogo sana na pengine ndo sabab ya wao kuagiza toka nje..
Kiaz hiki mkuu kentucky hakina standard? Are you sirias
 
Attachments

  • Screenshot_20240823_214020_Chrome.jpg
    Screenshot_20240823_214020_Chrome.jpg
    1 MB · Views: 9
Niliwah kupiga pastry mkuu hizi ishu zinatoka kwenye hot kitchen. Mafuta mazur kutumia ni yale ya sunflower.
Pastries wanatengeneza mikate, keki, mous, chocolate brownies, ice creams, vitafunwa kama crosants, cookies na ishu zote za kubeki. Hata pizza pia

Sambusa na vitu vya kukaanga, kutia mafuta na kuchemsha wanatokaga hot kitchen. Huko mnapika spaghetti za nyama, samosa za salads, za nyama na michuzi. mapishi mapana sana kama ushawahi kuona pilau limewekwa korosho?
😄 pilau la korosho wee acha kabisa nakuambia huwa nasafiri kutafuta mlo mzuri
Leo ijumaa nimekula Mandi kwa Wayemeni

Vipi huna restaurant nikija nije kula mapishi hayo?

Kuhusu mafuta huku wanalima sana Rapeseed na wanatoa mafuta yake
Na ndio hata KFC wanatumia hayo mafuta kwa kukaangiza
Screenshot_20240823_194053_Photos~2.png
 
nimeshangaa Nyamwi255 anasema mbusus tamu wakati hajawah kukutana na vitu kama hivi. Unaweza kusahau hadi mke nyumbani.. mm niliwah kuzimia kwnye cold room sabab ya pilau la korosho alafu kulikuwa na roasted beef! Asee 🔥🔥🔥 kalaga baho napenda kula sana

😄 pilau la korosho wee acha kabisa nakuambia huwa nasafiri kutafuta mlo mzuri
Leo ijumaa nimekula Mandi kwa Wayemeni

Vipi huna restaurant nikija nije kula mapishi hayo?

Kuhusu mafuta huku wanalima sana Rapeseed na wanatoa mafuta yake
Na ndio hata KFC wanatumia hayo mafuta kwa kukaangiza
View attachment 3077507
 
Nikutajie spices? Unaijua vinegar? Unaweka na unga wa njano kwnye ngano.
Kuna mashine ya kukatia viazi saizi moja na vile viazi vinamenywa kwa kujenga shepu ya mstatili so unakata nyama nyingi tu pembeni.
Vipande vile unavitia kwenye maji ya njano yaliyotiwa vinegar..

Lakin kutengenza chips tam mbona easy tu. Unataka kuuzia wap
Jamaa keshasema anataka akauze USWAHILINI
 
K

Kiaz hiki mkuu kentucky hakina standard? Are you sirias
Mkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..
Ofcoz simaanish hamna viaz vikubwa na vizuri hapa kwetu..not at all...vipo ila kwa wakulima wachache..swali ni mkulima huyo akipewa tenda anaweza kuwa reliable na akameet standard wanayotaka throughout?
 
Anaeuza hotelini sio mkulima, mtu anaepeleka kule ni mtu kati anapeleka hizo viazi vya standard flani so anachgua. Na hapeleki hivyo tu, usishangae anapeleka na broccoli na mazaga mengine huko. Hujawah kuona supplier kwenye mahotel inavyokuwa nn?
 
Mkuu utakua hufanyi manunuzi ya vitu kama hivi masokoni au jwa mangi huko..hivyo viaz vikubwa vimepangwa hapo juu kuita wateja..mwaga gunia zima uone yaliyomo ndani..
Ofcoz simaanish hamna viaz vikubwa na vizuri hapa kwetu..not at all...vipo ila kwa wakulima wachache..swali ni mkulima huyo akipewa tenda anaweza kuwa reliable na akameet standard wanayotaka throughout?
Ndio maana hata jirani walichemsha wakapigwa chini
Ukipata tenda wao wanajua utawapelekea kitu bora na kwa wakati
 
Back
Top Bottom