Wine isiyolevya(yaani isiyo na alcohol) haina tatizo. Wine isiyolevya ndiyo aliyotengeneza Yesu.Hivi timotheo alipoambiwa kwa sasa usitumie maji pekee bali na mvinyo kwa ajili ya tumbo lako !Paulo mtume hakumaanisha hii wine ya kupima ya Dodoma hasa ya mzabibu!!?
Mkuu, hii dunia inaelekea mwisho na huo muda unakuja wa kumuona Mungu physically.Madam.
Mungu huyo angekuwepo kweli, Hata kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila imani.
Na hata haya mabishano yasingekuwepo.
Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipa kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Mjomba huyu ndugu ana ugomvi na wewe. Ameweka hapo kwenye sheria yake namba 1!Nmefurah sijaona usipige nyeto 🔥
Mbona wewe hukujibu badala yake ulileta swali?Hujajibu swali langu
Acha ufala wewe.Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipa kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Nyege dawa yake ni kulomba au kunyonga acha ufala.Ukitubu na kumpokea Yesu moyoni mwako, ataikata 'kiu' ya uasherati na uzinzi. Hizo pisi utaziona kama dada zako tu. Kumbuka Yesu ndiye anayetuwezesha kushinda dhambi. Yesu alipokuwa duniani, zilikuwepo pia pisi kali wakati huo. Na Maandiko yanasema Yesu alijaribiwa katika mambo yote lakini hakutenda dhambi. Huyu Yesu ndiye atakayekusaidia kushinda na zaidi ya kushinda.
Soma Maandiko haya kwa ufahamu zaidi:
Yohana 4:13-14; 1 Kor 10:13; Rum 8:37; Gal 5:16
Kwa maana ujumbe wa msalaba kwa wale wanaopotea ni upuzi, lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa: “Nitaiharibu hekima ya wenye hekima, na kubatilisha akili ya wenye akili.” Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu?... (1 Wakorintho 1:18-31)Acha ufala wewe.
Orodha inaendelea...Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto'
2. Acha ulevi
3. Usiibe tena
4. Usirudie kusema uongo
5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi
6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako
7. Acha dharau, waheshimu wanaostahili heshima
TUBU! GEUKA! ACHA DHAMBI ZAKO NA UMRUDIE MUNGU!
Kipenzi Changu Maandiko yote hayo hujayaona au unajifanya huyaoni?Mimi sikumbatii nyeto lakini sijaona kipengele cha kukataza nyeto
Umeaminije Tomaso alikuwepo kama unakataa habari za Sulemani?Wewe huwezi nielewa mimi pia siwezi kukuelewa.
Yaani mimi ni tomaso haswa!!!!
That is a generalizationI need vivid proof usiniambie stori za Suleimani kuwa na wanawake buku thats hox and bulshit!!!Hao wanawake buku zaba na stori za kusadikika i dont buy it???
📌Dini ni pazia zito sana kwa wavivu kuona na kufikiri!!!
Watu wote wanaojitia wadini ni masikini wa roho na walemavu wa akili.Wanaroho mbaya na wamejaa maovu na chuki.Watunstumia dini kama muamvuli wa kujifichia.
Warumi 1:26-27Ushoga sijaona hapo mtumishi, au hii ni ruksa haina shida? Nipo kusikiliza hapa ma mchungaji.
Hii nock out ni kali sana!nilidhani Kuna ka mserereko!!Wine isiyolevya(yaani isiyo na alcohol) haina tatizo. Wine isiyolevya ndiyo aliyotengeneza Yesu.
Paulo alimwambia Timotheo atumie divai kidogo (kama dawa) kwa ajili ya tumbo lake (1 Timotheo 5:23), yaani kwa ajili ya kutibu matatizo ya tumbo aliyokuwa nayo. Hakumwambia aanze kulewa.
Andiko hilo halifuti Maandiko mengine yanayokataza ulevi (Waefeso 5:18; Wagalatia 5:21).
Tusichukue andiko moja na kulifanya ruhusa ya kufanya jambo ambalo Maandiko mengine yanatukataza.
Kwa ufahamu zaidi soma nyuzi hizi:
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic beverages) kama Group 1 carcinogen, sawa na tumbaku, asbestos, na virusi kama HPV.
Pombe inaharibu ini, ubongo, moyo, na hata mfumo wa kinga. Hakuna kiwango salama cha pombe kilichothibitika kuwa hakileti madhara.
WHO, 2023: “There is no safe amount of alcohol that does not affect...
- Setfree
- bila dhambi kujiua kunywa kunywa pombe kusema pombe sawa sumu ujasiri ukweli ukweli mchungu ushahidi who
- Replies: 195
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa nikufichulie ukweli wenyewe.
Watu wamekuwa wakitumia Andiko hilo kuhalalisha unywaji wa pombe. Hebu leo tujifunze sababu zinazoonyesha wazi kuwa divai aliyotengeneza Yesu haikuwa pombe(kileo).
Kulingana na muktadha, neno “divai” katika Biblia linamaanisha ama:
1. Juisi ya zabibu isiyo na...
- Setfree
- ukweli yesu
- Replies: 119
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko