Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

Serikali haina dini, ila raia wake wanayo....

lengo la sensa ni kufahamu idadi ya watu na mahitaji yao, hayo ya kujua idadi ya waumini fanyeni nyie kwenye mikusanyiko yenu ya kidini
 
Serikali haina dini, ila raia wake wanayo....

lengo la sensa ni kufahamu idadi ya watu na mahitaji yao, hayo ya kujua idadi ya waumini fanyeni nyie kwenye mikusanyiko yenu ya kidini



Mbona iko interested kujua idadi ya taasisi za dini na taarifa zao ?

Unafahamu hayo ?
 
Pole sana,kaulize wachungaji wenu wanaapkwenda Nigeria kununua uchawi
Halafu wanajua Sheria mbili tu za hiyo dini.
1. Nguruwe ni haram
2. Kufunga ramadhani muhimu.
Upendo hakuna kabisa, roho mbaya, wivu, uchawi, uzinzi husda na ufisadi vimetawala mioyo Yao.
 
Mbona iko interested kujua idadi ya taasisi za dini na taarifa zao ?

Unafahamu hayo ?
Taasisi ni lazima isajiliwe na ifahamike majukumu yake, viongozi wake na washirika wake kwa maslahi ya usalama wa nchi.

Ila kujua idadi ya waumini wa dini ni jukumu lenu washirika wa dini husika na viongozi wenu.
 
Kama Rais anaenda pahali kuongea na watu,kuwahutubia watu; lazima ajue watu wale wanawaza nini SASA HIVI. Na njia moja ya kujua wanawaza nini ni kufahamu dini zao,Ni kufahamu Imam kaongea nini.
Kwa mfano Joe Biden anaenda kuongea katika Bible Belt,yapo majimbo mengine kule Marekani(sijui majimbo gani), yanaitwa "Bible Belt",bila Shaka kwa vile watu wanasoma sana Biblia. Sasa Biden akitaka kwenda kule kuongea na wale watu,speech writer wa Rais lazima ajue speech nzuri ya kuandika(ili awaridhishe watu wa Bible Belt). Ni kwa maana hiyo ndiyo tunasema ni muhimu kwa Rais,kwa Serikali kujua imani za watu.
 
Mikoa uliyotaja ni kweli ipo nyuma kiuchumi. Kwa sababu;

1. Uislamu ulifanyika kuwa utamaduni, kwa kiasi kikubwa waliwakataa Wajerumani na Elimu yao, kwa sababu ilihamasisha sana dini ya kikristo, Abushiri, Bwana Heri, Maji Maji hizi zote zimetoka ukanda huu, Waingereza pia hawakuwa huru kukaa huku.

2. Mkoa kama kigoma ni kwa sababu ulikuwa 'Labor recruitment centre', kutokana na ardhi yake hawakuFanya sana shughuli za kimaendeleo huko; hiyo mikoa mingine ulotaja si tu kuwa na Ukithiri wa dini as utamaduni, ila ilifanyika kama 'Production areas' ndio mana.

Kuhusu kipengele cha dini kwenye sensa hakuna maana yoyote zaidi ya kutafuta basis ya kutenganisha watu, tutambuane kwa Utanzania wetu, uwe dini.
 
Allahumma amin Yaa Rabbi l Aalamin.
Na wewe pia maalim wangu kwa Dua zako Njema.
Allah akuongeze kila jema. Na zuri popote ulipo.

Allahumma ameen sheikh wangu, nimefurahi sana ujio wako, Allah awe nawe sheikh wangu!
 
umeanza sifa zenu zile za uwongo za kichaga. Shule za kata zilianza Kilimanjaro? una ushahidi? Shule za kata zilianza kujengwa nchi nzima kipindi cha Kikwete waziri mkuu akiwa Lowasa. Acheni sifa za kijinga
 
Si mjihesabu huko misikitini? chokochoko ya nini?
 
Nani alikuambia mkoa wa kigoma unawaislamu wengi
 
Hakuna faida ya kujua dini ya nani ni nani
 
umeanza sifa zenu zile za uwongo za kichaga. Shule za kata zilianza Kilimanjaro? una ushahidi? Shule za kata zilianza kujengwa nchi nzima kipindi cha Kikwete waziri mkuu akiwa Lowasa. Acheni sifa za kijinga
Mkoa wa Kilimanjaro shule za kata zilianza kipindi Cha Mkapa, kipindi hicho lowasa ni waziri wa kilimo na mifugo, na kikwete waziri wa mambo ya nje kwa hiyo mtoa mada Yuko sahii

Shule nyingi za kata mkoa wa Kilimanjaro form four ya kwanza ilikua 2007, it means mchakato ulianza tokea mwaka 1990's huko

Kiwete na lowasa wamekuja kuendeleza kile kilichokua kimeanza tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…