Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

Asipokuelewa basi atakuwa na matatizo kichwani.
 
Unaweza kuta na wewe una Phd kama ya Tulia.
 
Hapo “wakuwaomba” ni vikao vya uteuzi vya CCM vikianzia na Kamati Kuu. Akishapitishwa na vikao hivyo(watapitisha jina moja tu) basi hakuna namna tena, jina likifika Bungeni ni lazima atachaguliwa na CCM wenzake
Huu ndio ugonjwa wakupeleka jina moja bungeni.
Kiukweli Tulia abaki tu.Spika ije sura mpya kabisa.
 
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
Kwani kwenye baraza hujawaona karibu robo tatu walikuwa na Mwendazake?

Acha Nongwa ,Tulia ni Spika
 
Kwa kuwa ccm mwenzenu na mlisha chagua kuwa wa hovyo hovyo mchagueni TU, kwani hapata badilika kitu. Say hamtaki nae ajekunyolewa kama mtangulizi wake🤔.
 
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
Mwendazake sijui alikatoa wapi haka kademu. Alikateua kuwa kabunge afu chaap kakawa naibu spika...

Yule mzee unaweza kukuta alikuwa anakakamulia protini
 
Sisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunamtaka tulia,atakuwa ndio heavyweight pekee Kutoka Kanda yetu..

Tulia ndio Spika, wapinzani wake mnahangaika bure
 
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
Acha kumchafua naibu spika.....huyu ndiye atakayekuwa spika mtake msitake.
 
CCM wanaweza kuishangaza dunia nzima wakituletea spika mwanamke,yaani mihimili miwili iongozwe na wanawake kitakuwa kichekesho,Ikitokea hivyo basi hata mhimili wa mahakama watuletee mwanamke tujue moja.
 
Kwani anaenda kufanya nini? Anaenda kulinda maslahi ya ccm na wabunge ni Wana ccm sijui ushauri wako utakusaidia nini.

Mwenyekiti anamtaka Tulia sasa wewe nani umpinge Mwenyekiti?
 
Mwendazake sijui alikatoa wapi haka kademu. Alikateua kuwa kabunge afu chaap kakawa naibu spika...

Yule mzee unaweza kukuta alikuwa anakakamulia protini
Hili ni zao la MATOKEO YA MAHAKMA kuhusu umbali wa mita mia au kurudi nyumbani baada ya kura, akasema kurudi nyumbani basi hapo ndipo , akaukwaa uspika naibu
 
RANGO kuwa spika! Ni kuwakosea heshima Wadanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…