Na hapo ndipo ngoz nyeus tunapofeli kuamini kuwa eti viongozi wanaletwa na Mungu..mbona mnamsingizia Mungu kwa mambo ya ajabu hata hamuoni aibu...umefanya ngono zembe umepata ukimwi unakufa .."mapenz ya Mungu"..unaendesha gar unachat unapata ajal unakufa " mapenz ya Mungu"..uongoz mbaya watu wanakufa kama rwanda " mapenz ya Mungu....
Mungu alishamaliza kaz yake dunian baada ya Uumbaj na kutupa kiila kitu ..yanayoendelea ni creation zetu sis wanadamu na ndomana kuna free will...
Achen kupotosha watu ....na hii ndio ilifanya mzungu atawale africa kwa maneno kama hayo..et viongoz wanaletwa na Mungu....mkoloni alikua akikosewa anatoa adhabu halaf anasema kaambiwa na Mungu unapewa bible unasoma samehe 7×70 game over...
Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...
Hapo “wakuwaomba” ni vikao vya uteuzi vya CCM vikianzia na Kamati Kuu. Akishapitishwa na vikao hivyo(watapitisha jina moja tu) basi hakuna namna tena, jina likifika Bungeni ni lazima atachaguliwa na CCM wenzake
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
Tulia hatufai kabisa kuwa Spika. Maturity level yake iko very low, yeye ni zao la mfumo usiofuata demokrasia. Isitoshe ana harufu mbaya kama KIGWANGALA
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Kwa kuwa ccm mwenzenu na mlisha chagua kuwa wa hovyo hovyo mchagueni TU, kwani hapata badilika kitu. Say hamtaki nae ajekunyolewa kama mtangulizi wake🤔.
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
CCM wanaweza kuishangaza dunia nzima wakituletea spika mwanamke,yaani mihimili miwili iongozwe na wanawake kitakuwa kichekesho,Ikitokea hivyo basi hata mhimili wa mahakama watuletee mwanamke tujue moja.
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Hili ni zao la MATOKEO YA MAHAKMA kuhusu umbali wa mita mia au kurudi nyumbani baada ya kura, akasema kurudi nyumbani basi hapo ndipo , akaukwaa uspika naibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.