Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

Kwahiyo wamfanye kuwa Waziri Mkuu bila kuwa mbunge wa kuchaguliwa?
 
Ina maana huujui mringi? Mwenye mringi ndo anaitwa Anamringi siyo Anna Mringi. Kuwa na adabu na wanaume.
Kumbe ni Mwanaume sasa nikajua typing error kumbe sio Anna Mringi bali ni Anamringi na ni Mwanaume sio Mwanamke, ahsante kwa taarifa
 
Kwahiyo wamfanye kuwa Waziri Mkuu bila kuwa mbunge wa kuchaguliwa?
Interahamwe haikuwa chama Cha siasa interahamwe lilikuwa kundi la wanamgambo wa kihutu wenye msimamo mkali walikuwa supported na serikali ya Habyarimana kupelekea mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka wa 1994.
 
Ccm hachomoki 2025. Yani kifupi 2025 ndo mwisho wa reli
 
Mbona hujatuambia hizo tuhuma ni zipi, na kama Siri yenu mbona unakuja kulia hapa bila facts, CCM acheni ujinga
 

Habari za uhakika na za ndani kabisa ni kuwa ameshaondoka chamani. Mnachunguza nini? Sio kupoteza wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…