Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

hata hicho kidude kama Kuna choo cha kukaa inakuwa ngumu sana kujitawaza.

Kama nimeingia lodge Ina choo cha hivyo huwa natoka kutafuta choo sehemu hata ya kulipia.
 
Wanawake hawapendi kabisa kushea Sitting Toilet na mwanaume.

Kwanini?

Kwa sababu mwanaume anapokojoa, hata awe na shabaha vipi, lazima matone ya mikojo yasambae pale juu kwenye sinki ya kukalia.

Maoni yako
Kwa nn huyo mwanaume anapokojoa asinyanyue ile seat na seat cover yake. Uchafu wa baadhi ya wanaume usi generalise wote wako hivyo.
 
Hiki kifaa nilikuta mahali wadada wanakisifia sana kuwa kuna namna kinawasaidia sababu ya ile presha yake basi wanapulizia kwenye papsi
 
Ukiwa hivo si unapinda mkuu, ujue hata kwenye hivi vya kuchutama navyo chuma ikiwa skanganga ni shida
Angalau unajibu linalo elekea swali nalo uliza. Sasa wasiwasi wangu nikuwa unapo ipindisha uelekeo wa shimo mikojo haikurukii?
 
Ushamba mwingine! Hii ni aibu kubwa. Hujui kutumia choo cha kukaa? Umekulia mbugani huko? Umezoea vile vyoo ambavyo unakuta li-ndoo li-kubwa chooni, limejazwa maji, na kopo kwa pembeni. Kila mtumiaji wa choo anatumia kopo hilo hilo, kutoweza ndani ya maji hayo hayo, na ''kujisafisha''? (kujipaka uchafu?).
 
Kwamba wewe unakuny* kutwa mara tatu kisa unakula kutwa mara tatu, mbona unaweza kukaa hata siku nne na huku unakula
acha mazoe, jaribu kuziba gari bomba la moshi uone kama itaenda.unapokula sio chakula chote kinatumika kuna makapi, sasa kama hauyatoi yanaenda wapi, pengine kuna sensor kwenye bomba lako la moshi hazifanyi kazi zinaona moshi sio takataka.
 
Vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu na usafi. Kuna vitu ambavyo ni lazima viwe kwenye hivi vyoo vya kukaa. Ukikuta hakuna basi ni kosa. 1. Bomba la maji yanayotitirika. 2. Sinki la kunawia mikono. 3. Sabuni 4. toilet paper. 5. Hand tissues (kwenye vyoo vya umma na taulo kwa vyoo vya nyumbani). Pia vyoo vingine vya umma huwa wanaweka disposable toilet seat covers, za kuweka kwenye choo ile sehemu unayokaa. Waafrika wengi mnachukulia chooni ni kama sehemu ambayo ni lazima iwe chafu na hivi vitu nilivyoorodhesha hatuweki. Ndipo tatizo linapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…