Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Atakuwa alilipenda kweli jeshi kama ni ivyo. Maana mwenyekiti wa bodi ya TANAPA ni mmoja wa watu wenye mshahara na marupurupu makubwa Tanzania.Labda sababu aliwekwa na jiwe, labda angekuwepo angeongezewa mkataba.
Mwenyekiti board huwa hana mshahara....ni posho vikao wanakutana mara 4 kwa mwaka....labda uzalendo wake kukataa kupindisha katiba....kuweka jeshi historia kukataa kulinda katiba....Atakuwa alilipenda kweli jeshi kama ni ivyo. Maana mwenyekiti wa bodi ya TANAPA ni mmoja wa watu wenye mshahara na marupurupu makubwa Tanzania.
Kama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa zinazoendelea.Hakuna sehemu anayojuta
Yeye ni Moja ya watu wa karibu wa JPM kwaiyo malengelenge machozi lazimaKama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa.
Body language ndio kila kitu hasa akielezea siku za mwisho ilivyokuwa hadi mauti yanamkuta marehemu.
Itakuwa kuna kitu kinamuumiza mpaka leo yale malengelenge ya machozi sio bure na kushindwa kuzuia emotions zake ata kwenye kuongea ile się tabia ya army general mpaka kushindwa kujizuia mtu kama yeye ni big deal kiaskari duniani.
Sidhani kama unaliangalia kiaskari akiwa public kwa level yake anatakiwa kujizuia.Yeye ni Moja ya watu wa karibu wa JPM kwaiyo malengelenge machozi lazima
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Kwamba Mebeyo kumkumbuka Magufuli na kutoa chozi ghafla tayari wataalam wa kutazama mmeshapata "yote yaliyokuwa moyoni mwake" na sasa ndo mnatutangazia hayo yaliyo kuwa moyoni mwake?..
Like seriously?...
Kwa kauli yake ‘anadhani kuna wakati washauri wake wanampa ushauri mmbaya’ (hiyo ni cue tosha), juu ya mtazamo wake wa siasa za sasa. Sema kamalizia na diplomatic language tu anashirikisha watu wengi kwenye maamuzi yake na anafanya kazi nzuri.Kwamba Mebeyo kumkumbuka Magufuli na kutoa chozi ghafla tayari wataalam wa kutazama mmeshapata "yote yaliyokuwa moyoni mwake" na sasa ndo mnatutangazia hayo yaliyo kuwa moyoni mwake?..
Like seriously?...
Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui nchi ingegawanyika mara ngapi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
awezi ❌ hawezi✔️, hudhuni❌ huzuni ✔️, ata❌hata✔️😳, akutoa❌ hakutoa ✔️,
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Akili ndogo mshaingiaawezi ❌ hawezi✔️, hudhuni❌ huzuni ✔️, ata❌hata✔️😳, akutoa❌ hakutoa ✔️,